Salaam Wakuu,
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine.
Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
KWA kutumia text description hii weka picha za wenye njaa.
"KWA KIPINDI CHA MIAKA SITINI NA USHEE TUMEWAAMINI WAPISHI WENYE NJAA KUTUPIKIA CHAKULA SISI WENYE NJAA MATOKEO YAKE TUMEENDELEA KUWA NA NJAA"
Habarini za muda huu wakuu,
Leo nimeona tuzungumze jambo moja hasa kwa sisi WANAUME.
Nimeanzisha thread hii kwa ajili ya sisi kujadili "mambo yetu" kwa lengo la kufundishana, kuhabarishana, kuonyana na kuelekezana kadiri ya "miiko ya jinsi ya kiumeni"
Najua kuna watu wataniona mtu wa ajabu...
Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu.
Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.
Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
Kwa wale wote wanaomiliki au ku operate machine tajwa hapo juu, basi karibuni sana nimefungua uzi huu mahsusi kabisa kuwakutanisha watumiaji wa machine hizo, lengo ni kukabiliana na changamoto mbalimbali kwenye uendeshaji na utunzaji wa hizo machines.
Kuna baadhi ya watu waliagiza machine hizo...
Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya...
Habari zenu ndugu zangu. Baada ya kuwajulia hali, ningepeenda niende moja kwa moja kwenye mada iliyonileta hapa. Bila shaka asilimia kubwa ya vijana tuliozaliwa na kukulia Dar es Salaam miaka ya 90, tuliwahi kucheza au kupitia michezo mbali mbali kama vile karate, ngumi, soka (mpira) na michezo...
Habari ya mchana wana JF.
Siwezi kusema sijawah kukamatwa kuwa na cheat, nimekamatwa mara kadhaa lakini sijawahi kukubali kuwa nakataa sijacheat. Mbinu yangu ni kukataa katu katu.
Njoo tupeane mbinu za kizamani na kisasa za kujibu kesi za kucheat pale unapofumwa na mpenzi wako.
Nb. Huu uzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.