Uzi maalumu wa Kutupia Vitabu vya kiroho visivyotumiwa rasmi na Wakiristo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau wote

Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo.

Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon

Karibuni tupeane maarifa

Sabato njema
Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.

Screenshot_2023_1103_215454.jpg
 
Back
Top Bottom