DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,606
- 17,753
Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu,
kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote...
Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako huku ukinywa na kuvuta fundo safi la sharubati Ya Tende Shake...
Au kurahisishiwa manunuzi au shughul yoyote unayotKa kufanya mtandaoni.
Hata hivyo, Waspaniola wana msemo wao..
"Pero, no obstante, donde la belleza existe y la fealdad llega rápidamente."
kiswahili "Penye mazuri Ubaya unakujaga kwa kasi sana"
Kwenye uzi huu tutang'amuana kuhusu Cybersecurity, How to avoid Cyberattack na Jinsi ya kutumia Tools kama Termux na Linux kwa ajili ya kufanya hivyo tutajifunza kutoka Basic commands kuja kwenye complex commands Karibuni....
Disclaimer: Nasisitiza kwamba uzi huu ni kwa madhumuni ya elimu tu na sihimizi uvunjaji wa sheria au kudukua taarifa za wengine, Ni muhimu kutambua kuwa vitendo vya kudukua au uvunjaji wa usalama wa mtandao ni kinyume cha sheria no 11 ya mwaka 2022 Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na pia Cybersecurity Act ya 2015..