uzi maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania UZi MAALUMU kwa ajili ya kusalimiana kwa lugha za makabila yetu

    Nianze na kabila langu kubwa la wasukuma "mwangaroka bhadugu bhane" "Yani habari zenu ndugu zangu" Tuendeleze Sasa makabila mengine kwa salamu....
  2. MZEE OJUAN

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za ajira za walimu 2024

    Habari wana JF haya kuna walioona changes kwenye profile zao. Tiririka mwalimu mwaka wako huu
  3. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri

    Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi. MSTARI WA KUSIMAMIA Zaburi 90:14 "...
  4. Brojust

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa historia na maana ya vituo vya magari, daladala, na baadhi ya majina ya watu kwanini yalitumika kama kielelezo cha sehemu husika.

    Salaam wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. 1. Majohe "KWA NGOZOMA" Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe wakati panaanzishwa miaka ya 2005 hivi. 2. Kwa Azizi Ali (Anayejua atuambie ) 3. Kwa mpalange...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hybrid cars

    Nawasalimu wote jukwaani Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu picha mbalimbali za viatu moccasins kali za kisasa

    Moderator nikuombe usiunganishe Uzi huu kwingineko Wadau hamjamboni? Tafadhali tupia picha ya moccasin kali ya ukweli, weka Bei zake na sema wapi vinapatikana
  7. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kutaja majibu ya kukatisha tamaa, ya hovyo au kuchefua ulowahi kuyapata kutoka kwa shangazi zako

    Wadau hamjamboni nyote? Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani? Karibu utupe uzoefu Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
  8. Midekoo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha za misemo mbalimbali ya kwenye magari

  9. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

    Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums. lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa...
  10. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa maneno vifupi kihuni tupia neno moja la kisela

    1. 2100- tumia
  11. kipanga85

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watumiaji wa vifaa vyote vya kielektroniki isipokuwa vifaa vya Apple

    Wakuu habari za mishe nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine viheshimiwe kwani navyo ni viko fire .Share chochote ila isiwe kuhusu iOS MIMI NAANZA NA UBUNTU...
  12. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  13. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Namna mvuto unavyo athiri maisha yetu

    Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali? Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali? Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi kali? Kuna siri gani haswa? Je, mvuto ni sura (muonekano wa nje)? Mvuto ni kitu gani? Mtu mwenye...
  14. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vinavyotumia mfumo wa ANDROID kama | Smart Android TV | All Android Phones | Samsung, Xiaomi, Google Pixel, Huawei

    Sony, Lg, Smart watch za Android… Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  15. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa: Watumiaji wa vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs

    Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa zote mpya za bidhaa za Apple Changamoto na suluhisho za kifaa husika.. Na mengine Mengi zaidi
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusaidiana matatizo ya kiakili

    Akili ni sehemu ya ubongo ambayo inashughulika na kuhifadhi,kuchakata na kuamua jambo( hali ujuzi au ufahamu wa jambo) hauwezi kuamua jambo mpaka akili ichakate/kufanya ulinganifu na kutoa maamuzi ni jambo la haraka sana kwa kiumbe ndiyo maana sometimes mtu anajutia maamuzi yake ila hauwezi...
  18. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa makolo

    Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali yanayowahusu makolo, Simbilizi, mbumbumbu au ukipenda waite mazumbukuku academy !! Kuwa shabiki wa makolo ni...
  19. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
  20. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kanuni 10 muhimu za kukusaidia na kukulinda mwanaume unapochepuka na mke wa mtu

    Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume. Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:- 1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye. 2...
Back
Top Bottom