utalii

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kushuka kwa Utalii: Serikali yaombwa kuangalia upya tozo zilizowekwa kwenye Hifadhi

    Wakati Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo akiomba Serikali ipunguze tozo za kuingia katiba hifadhi ya wanyama ya Serengeti, Spika wa Bunge Job Ndugai naye amesisitiza ombi hilo akiitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuangalia viwango vyao kwani grafu ya utalii inashuka. Hata hivyo, Waziri wa...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Utalii Zanzibar: Uchafu watajwa kuwa kikwazo

    Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mh Lela Mohamed Mussa amewataka wakuu wa Wilaya kuanzisha siku maalum kwa ajili ya kusafisha vivutio vya utalii. Hayo ameyasema katika uzinduzi wa kampeni ya usafi kwa maendeleo ya utalii katika kisiwa cha Kwale Mkoa Mjini Magharibi siku hiyo maalum ya siku ya...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

    Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana. Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndiyo kusema kuwa kwa hili Bodi ya Utalii na Serikali imefanikiwa au ni jambo la Kawaida ila Ushamba unatusumbua tu?

    Kocha Ole Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezaji wa Manchester United. "Imefanyika kazi kubwa na uvumilivu kufika hapa tulipo. Lakini ni kama kupanda Mlima Kilimanjaro au Everest hadi kileleni kisha ukakaa na kupumzika. Unajua ni nini kitatokea?-utaganda na...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

    Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TANAPA,TTB wajenge jengo la kisasa la kutangaza utalii Kanda ya Ziwa

    Mimi ni mwekezaji katika sekta ya utalii kanda ya ziwa lakini jambo linalokatisha tamaa ni kuwa ukanda huu pamoja kuwa na Hifadhi za Taifa za Burigi Chato, Serengeti, Sanane, Rubondo Kimisi, Rumanyika lakini hakuna jengo na raslimali watu inayoakisi nia ya serikali kuendeleza utalii wa kanda...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wizara ya utalii sikilizeni ushauri wa huyu mtalii chukueni yale mnayoona yafaa yafanyieni kazi

    Huyu mtalii kuna kitu anakilalamikia sekta ya utalii Kenya lakini malalamiko yake na sisi kama wenye utalii yaweza tusaidia
  9. 2019

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kelele nyingi kuhusu Kilimanjaro, niliamua kufanya utalii wa ndani dakika za mwisho

    Toka napata akili naskia sana neno Kilimanjaro, katika utafiti pia ni vitu vingi sana vina majina hayo. Toka niingie JF watu wanaotoka Kilimanjaro wanatajwa kwa ubaya kwa mazuri pia. Kutokana na mabishano ambayo nimeshuhudia kwenye majukwaa humu kuhusu wachaga na mkoa mzima nikatamani sana ipo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, TAWA kuua wanyama kiholela haikubaliki

    Mhe. Waziri wa Maliasili na Utalii, naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA). Wenzetu wa TAWA wamekosa weledi na hawatumii kabisa taaluma zao katika kushughulikia Wanyama waliopo nje ya Hifadhi, hakika wanachofanya siyo Profesionalism na Kinahamasisha...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Makamishna wastaafu wa Polisi wataka jamii iwatumie kwa ushauri, pia wako tayari kutangaza utalii

    Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii. Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo. Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali...
  13. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Nimesomea masuala ya Utalii na Hospitality naomba kazi, nipo tayari kujitolea ili kupimwa uwezo wangu

    Habari, Tafadhali ninakuja kwenu, ni mhitimu wa hivi karibuni wa Shahada ya BCom. Tourism and Hospitality Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Sina uzoefu popote unaoweza kuonekana ila ni mchapakazi mbunifu na mwenye uwezo mkubwa wa kujifunza mambo mapya kwa haraka. Ninaweza...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Utalii ya nyumba za malazi kwenye GN 823 ya 2.10.2020 ina mapungufu

    Serikali kwa kupitia Wizara ya Utalii na Maliasili iltoa orodha ya mahoteli yanayopswa kulipia vitanda siku nchi nzima na kumkabidhi Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Mhede kuifanyia kazi. Orodha hiyo ya mahoteli na nyumba za kulala wageni imo kwenye GN No 823 ya tarehe 2.10.2020. Orodha hiyo inapaswa...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mahoteli kufungwa kila mkoa: Uchumi wa Kati, utalii wa Ndani

    Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha. Blue Pearl iliypokuwa...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TANGAZA UTALII TANZANIA: ATCL na TANAPA wana nini cha kuwapa wanafunzi 10 (bora) waliofanya vizuri Darasa la Saba 2020?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Wiki moja baada ya kutangazwa matokeo, shirika la ndege la ATCL pamoja na mamlaka ya hifadhi ya TANAPA ina nini cha kuwapa wanafunzi 10 bora (waliofanya vizuri) katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania NEW CABINET 2020: Ninaomba iwe desturi kwa Waziri wa Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamhuri

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Ninaomba sasa iwe desturi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuakisi shughuli za ofisi yake kwa mavazi ya asili anapokuwa anakula kiapo cha utii kwa Jamuhuri. Waziri wa zamani wa utalii (Dr. Khamis...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mtu marketing kwa ajili ya biashara ya utalii anahitajika

    tuko katika mkakati wa kutengeneza na kukuza brand yetu mtu wa masoko ni muhimu hivyo basi kama unadhani ww ni mbunifu, mchapakazi ,unafikiri nje ya box , tuambie kwanini ni ww na si mwingine kwa maneno machache tupe pia uzoefu na ujuzi wako kwa kifupi
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri Tanzania iige mfano wa nchi ya Rwanda katika kutangaza utalii nchi za nje

    Kama ilivyo ada tunatakiwa tutangaze utalii wetu nje ya nchi yetu na shughuli hii inatakiwa kufanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Taifa ya Utalii. Jana wakati mchezo wa Leicester dhidi ya Arsernal kwenye uwanja wa Arsenal niliona matangazo yaliyosomeka "Visit Rwanda - the best...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia jangwa lake kwa shughuli za utalii

    Ni muendelezo wa kupambana na kubadilisha kila hali kwenye hii nchi na kuifanya fursa. The Chalbi Desert dune belts For many years, the mention of Marsabit County conjured up images of a forsaken place full of hostile residents, banditry, cattle rustling and poor infrastructure and...
Back
Top Bottom