Huyu mtalii kuna kitu anakilalamikia sekta ya utalii Kenya lakini malalamiko yake na sisi kama wenye utalii yaweza tusaidia
Jamaa kaongea kweli kuwa ukiona sehemu safi unajua usalama upo tofauti ukiona sehemu chafu unajua hapa si salama.
Sema jamaa inaonekana ni mpenda misosi
Yeah mkuu hata zenji mahoteli mengi ni waoNi Mwitaliano ndio maana anazungumzia misosi kwa wingi, Waitaliano ndio wenyewe kwenye uwekezaji wa Mahoteli.
u nailed itWizara ya utalii wao wanaamini kila mtalii akija Tanzania anataka kuona simba, chui, fisi sijui ujinga gani.
Misri haina hao wanyama ila inavutia mamilioni ya watalii kila mwaka, the same to Morocco, 12m tourists a year sasa sisi tumekomalia wanyama, wanyama ,wanyama.
Tuna beaches nzuri sana lakini usafi ni sifuri, vibaka, wizi, tabu tupu.
Watanzania tusipobadilika miaka na miaka watalii watakua ni hao hao 1.2m a year.