utalii

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CAG: TSh. milioni 140 ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na Mkataba uliosainiwa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa. Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita...
  3. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  4. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya hawa YouTubers inakera, na ni ukomo wa ubunifu

    Waimbaji wa muziki wa dini na kijamii wanasumbua sana WhatsApp inbox. Kila kukicha unakuta naomba subscribe kwenye channel yangu, au uangalie hii video yangu KUUNGA Mkono huduma yangu. Nadhani hii ni poor Digital marketing plan. Wekezeni kwenye content sisi tutazitafuta tu. Nguvu kubwa...
  5. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Mbuga 3 za Tanzania zaingia kwenye vivutio 25 bora duniani: Serengeti yaongoza, Mlima Kilimanjaro nafasi ya 12 na Mbuga ya Tarangire nafasi ya 14

    Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor. Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa mrejesho wa mahoteli na vivutio mbalimbali duniani. Hifadhi tatu nchini Tanzania zimeibuka kidedea...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ubunifu unahitajika zaidi kuweza kufufua sekta ya utalii

    Hafla ya kutoa tuzo ya mpango wa utalii wa MKSE imefanyika hivi karibuni mjini Nairobi, Kenya. Kwenye halfa hiyo, waziri wa utalii wa Kenya Bw. Najib Balala amesema mpango huo ni sehemu muhimu ya kukuza sekta ya utalii, moja ya nguzo za uchumi wa nchi hiyo, na unalenga kuyapongeza mashirika...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania UTALII WA NDANI: Ziwa Kyungulu/ Kyungulu Crater Lake, Mbeya

    Ziwa Kyungululu/ Kyungululu crater Lake Ziwa Kyungululu llinapatikana Lugombo katika kijiji cha Kabembe kata ya Itete, Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe, linapatikana umbali mdogo kutoka ilipo Hospitali teule ya Itete. Uwapo katika eneo lilipo Ziwa Kyungululu utaweza kuona kwa uzuri...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kushuka kwa Utalii: Serikali yaombwa kuangalia upya tozo zilizowekwa kwenye Hifadhi

    Wakati Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo akiomba Serikali ipunguze tozo za kuingia katiba hifadhi ya wanyama ya Serengeti, Spika wa Bunge Job Ndugai naye amesisitiza ombi hilo akiitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuangalia viwango vyao kwani grafu ya utalii inashuka. Hata hivyo, Waziri wa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Utalii Zanzibar: Uchafu watajwa kuwa kikwazo

    Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mh Lela Mohamed Mussa amewataka wakuu wa Wilaya kuanzisha siku maalum kwa ajili ya kusafisha vivutio vya utalii. Hayo ameyasema katika uzinduzi wa kampeni ya usafi kwa maendeleo ya utalii katika kisiwa cha Kwale Mkoa Mjini Magharibi siku hiyo maalum ya siku ya...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

    Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana. Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndiyo kusema kuwa kwa hili Bodi ya Utalii na Serikali imefanikiwa au ni jambo la Kawaida ila Ushamba unatusumbua tu?

    Kocha Ole Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezaji wa Manchester United. "Imefanyika kazi kubwa na uvumilivu kufika hapa tulipo. Lakini ni kama kupanda Mlima Kilimanjaro au Everest hadi kileleni kisha ukakaa na kupumzika. Unajua ni nini kitatokea?-utaganda na...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

    Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TANAPA,TTB wajenge jengo la kisasa la kutangaza utalii Kanda ya Ziwa

    Mimi ni mwekezaji katika sekta ya utalii kanda ya ziwa lakini jambo linalokatisha tamaa ni kuwa ukanda huu pamoja kuwa na Hifadhi za Taifa za Burigi Chato, Serengeti, Sanane, Rubondo Kimisi, Rumanyika lakini hakuna jengo na raslimali watu inayoakisi nia ya serikali kuendeleza utalii wa kanda...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wizara ya utalii sikilizeni ushauri wa huyu mtalii chukueni yale mnayoona yafaa yafanyieni kazi

    Huyu mtalii kuna kitu anakilalamikia sekta ya utalii Kenya lakini malalamiko yake na sisi kama wenye utalii yaweza tusaidia
  16. 2019

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kelele nyingi kuhusu Kilimanjaro, niliamua kufanya utalii wa ndani dakika za mwisho

    Toka napata akili naskia sana neno Kilimanjaro, katika utafiti pia ni vitu vingi sana vina majina hayo. Toka niingie JF watu wanaotoka Kilimanjaro wanatajwa kwa ubaya kwa mazuri pia. Kutokana na mabishano ambayo nimeshuhudia kwenye majukwaa humu kuhusu wachaga na mkoa mzima nikatamani sana ipo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, TAWA kuua wanyama kiholela haikubaliki

    Mhe. Waziri wa Maliasili na Utalii, naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA). Wenzetu wa TAWA wamekosa weledi na hawatumii kabisa taaluma zao katika kushughulikia Wanyama waliopo nje ya Hifadhi, hakika wanachofanya siyo Profesionalism na Kinahamasisha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Makamishna wastaafu wa Polisi wataka jamii iwatumie kwa ushauri, pia wako tayari kutangaza utalii

    Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii. Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo. Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Nimesomea masuala ya Utalii na Hospitality naomba kazi, nipo tayari kujitolea ili kupimwa uwezo wangu

    Habari, Tafadhali ninakuja kwenu, ni mhitimu wa hivi karibuni wa Shahada ya BCom. Tourism and Hospitality Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Sina uzoefu popote unaoweza kuonekana ila ni mchapakazi mbunifu na mwenye uwezo mkubwa wa kujifunza mambo mapya kwa haraka. Ninaweza...
Back
Top Bottom