Kwanza kabisa nasikitika sana historia ya eneo hili kufichwa au kutokua wazi. Nimepita pita sana kila kona lakini sijawahi kuona hostoria yake.
Kanisa hili lilijengwa na Wajerumani kwa mawe miaka ya 1880. Ujio wa Wamisionari hawa ulitoa fursa kwa Kibosho kuwa na sehem ya ibada, kujengwa kwa...
Kenya jana imetangaza kupunguza ada za kuingia mbuga kuu za wanyama pori kwa watalii kutoka ndani na nje ya nchi hiyo ili kuhimiza sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na janga la COVID-19.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la huduma za Wanyamapori nchini Kenya (KWS) limesema hatua hiyo itadumu kwa...
Na Malisa GJ
Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni.
Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
Budget ya Serikali iliyopitishwa na Wabunge kwa asilimia 98 imeacha Sekta ya Utalii hoi. Janga la Corona limeharibu sekta ya utalii zaidi kuliko sekta zingine. Sasa sijui waziri ndio hajaongea na wadau na kuwasilisha maoni au sijui tatizo ni nini?
Jambo la muhimu inatakiwa ni kufufua utalii kwa...
Anga la Tanzania limefunguliwa takribani wiki 2 zilizopita na nchi kuruhusu Watalii kuingia nchini.
Utaratibu wa watalii kuingia nchini utahusisha upimaji wa joto wakiwa Uwanja wa Ndege na kisha kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao za kitalii. Njia hii ya upimaji wa joto pekee ndiyo...
Amani iwe kwenu wadau!
Kwa kumbukumbu zangu kuna mabadiriko ya sheria yaliyohusisha Fedha za zao la korosho na vyama vya ushirika. Mabadiriko yale yalipingwa vikali sana na wabunge wa kusini akiwemo Nape na kupelekea Hawa Ghasia kutumia diplomasia kujiuzuru uwenyekiti wa kamati moja ya Bunge...
Serikali imeazimia kuipa mamlaka TRA kuhusika moja kwa moja na ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii katika taasisi hizi TANAPA, NCCA, na TAWA.
Je, huu uamuzi kwa mtazamo wako una athari chanya au hasi katika utalii?
Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo.
Akizindua...
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imefanya mkutano na Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi zilizopo kanda ya Asia na Australasia kwa lengo la kuimarisha mikakati thabiti ya utekelezaji wa kuvitangaza vivutio vya utalii wakati wa kipindi hiki ambapo sekta ya utalii duniani...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi sio mtaalamu sana wa masuala haya ila naamini bado sio sababu ya kushindwa kukusanya maoni kuishauri serikali kupitia wizara ya utalii nini kifanyike kukuza utalii.
Nasisitiza tuweke uzalendo kwanza kwenye thread hii. Hii ni nchi yetu sote sisi na...
Sanaa zetu zinatakiwa ziwe chini ya wizara ya mambo ya nje na kuweza kutangazwa na kuleta pesa za kigeni. Vilevile kuwaletea vipato wasanii wetu.
Kwa sasa wizara waliyopo wamekuwa kama viranja tu wa kukosoa na kupiga faini bila kusaidia kuwaongezea vipato wasanii.
Wasanii wetu na sanaa kwa...
Kigwangalla awacharua wanaomsema hajui kingereza asema sio sifa kuijua
Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza.
“Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya...
Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii.
Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day.
Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee...
Nyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.
Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote.
Dkt. Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia...
Kuna mambo kadhaa ya kufahamu kwa kina kabla ya kujadili hili.
Kwanza tuukubali ukweli huu kuwa, kusambaa kwa Corona duniani ndio kuliko pelekea kusimama kwa shughuli za utalii hapa Tanzania. Sio mtu, watu au mamlaka fulani iliyoamuru kusitisha shughuli za utalii hapa Tanzania.
Watalii wenyewe...
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.