utalii

  1. Cvez

    JamiiForums Tanzania Corona Virus tishio la pili kubwa baada ya 9/11 katika sekta ya utalii

    Katika mwaka ambao sekta ya utalii itapata msukosuko ni huu hasa ukizingatia utalii si basic needs. Baada ya 9/11 Corona virus ni pigo la pili kubwa kuikumba sekta hii. Kutokana na takwimu za tovuti maarufu ya safari barani Afrika Safaribooking, kumekua na anguko la karibia 6% kutoka kipindi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, maoni au maelezo kuhusu hii kozi

    Habari wana JF, Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production). Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA, naomba mwenye ujuzi na hii kozi au field ya utalii anijuze, atoe maoni au taarifa...
  3. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Ujenzi Holela Hifadhini

    Ulishawahi kusikia ujenzi holela? Basi tazama hiyo picha hapo utajifunza kitu. Huwezi amini kuwa hayo ni majengo ya mojawapo ya hoteli za kitalii zinazoendelea kuibuka kama uyoga ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti! (Ninazo picha nyingi sana, nitaambatanisha nyingine very soon!). Hivi NEMC...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike

    Wanabodi, Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandishwa humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea!. Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli Nimesema kwa upande wa wanyama pori...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala: Sekta ya utalii hatutafikia malengo ya mapato, itabidi tujipange upya virusi vya korona huko China vimetuangusha

    Waziri wa mali asili na utalii Dr Kigwangalla amesema wizara yake na wadau wote wa utalii ni lazima wajipange upya kimkakati kwani ugonjwa wa Corona huko China umewafanya washindwe kufikia malengo. Naye mtendaji mkuu wa Tanapa Dr Kijaxi amesema mapato ya utalii yameshuka baada ya watalii...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Utalii: Simba 17 wahamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi - Chato

    Jumla ya Simba 17 wamehamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi huko Chato ikiwa ni hatua ya kuimarisha vivutio vya utalii Kanda ya Magharibi. Simba hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Gaguti ambaye amewataka wananchi wa maeneo hayo wawe wakarimu wakati wa kuwapokea...
  7. Cvez

    JamiiForums Tanzania Utalii una fursa kubwa sana ila njia tunazozitumia ndio zinatufanya tusifaidi matunda ya utalii

    Utalii ni mpana sana una vitu vingi sana ambavyo kuulewa inataka muda. Na si kila mtu anaweza fanya kazi katika taasisi za utalii ile ni professional kufikia hadi level ya PhD. Kwa mfahamu wa wengi wetu tunawafahamu tu waongoza watalii (tour guides), receptionists katika hotels ambao wamefanya...
  8. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Filamu za kutangaza utalii wa Tanzania kuonyeshwa kwenye ndege 300 duniani

    Dar es Salaam.Balozi wa Indonesia nchini Malaysia, Rusdi Kirana amekubali kuonyesha filamu za kutangaza za utalii wa Tanzania kwenye ndege 300 zinazofanya safari kwenye zaidi ya nchi 50 duniani. Balozi Kirana ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki mashirika ya ndege ya Lions Group...
  9. ngaboru

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye sekta ya utalii Dodoma

    Habari wanajukwaa, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina uzoefu wa kufanya reservation, sales, office administration pamoja na reception.
  10. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kukuza Utalii kwa kutumia wasanii wa ndani.

    Katika kuelekea mwishoni wa mwaka jana kulikua na harakati za kutangaza utalii wa nchi yetu kutumia "celebrities" wetu wa Kitanzania. Katika kampeni wasanii wa filamu pamoja na wa Bongo fleva walihusika kwa kushirikiana na kiongozi wa Wizara husika. Mimi ni mdau wa utalii na ninajua utalii wa...
  11. BASIASI

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba ukague hizo pesa za wasanii kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

    Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida. Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari. Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine...
  12. budebajr

    JamiiForums Tanzania Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

    Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
  13. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Inabidi taxi za majini zianzishwe Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri na kuwa sehemu ya utalii

    Sea taxi ni usafiri wa boti au meli ndogo zenye kubeba abiria kutoka eneo moja kwenda eneo lingine ndani ya bahari, na ndani ya boti abiria huweza kupata sehemu za burudani kama televisheni, eneo la wazi, mgahawa na sehemu ya mkutano. Hii imekuwa ikifanyika katika nchi mbalimbali mfano kwa...
  14. bahati93

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wakwepa kero kwao msimu wa Christmas waja Tanzania

    World citizen good morning, Kuna ugeni mkubwa wa watalili kutoka Israel umeingia bongo land ni taarifa nimepata hivi karibuni, nadhani wengi watakuwa wanakerwa na sherehe ya Christmas huko kwao wakaona isiwe tabu ngoja tuwapishe mkimaliza tutarudi, kutokana na Watanzania wengi kutokujua...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii soko la utalii tusilitegemee sana pamoja na kuwa na Bombardier

    Watalii wengi ni wafanyakazi wa kuajiriwa. Wengi hutegemea credit cards kifanyike utalii na wanalipa kila mwezi. Likizo huwa zinatolewa siku tano, yaani wiki moja; au siku kumi, yaani wiki mbili (ukitoa Jumamosi na Jumapili). Sasa mtalii amechukua likizo ya siku tano anakwenda Mikumi National...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CNN: Tanzania yatoa kivutio namba 1 cha kutembelewa kwa mwaka 2020, yazishinda nchi nyingine 30

    With its expansive landscapes and formidable animal life, the world's second-biggest continent is arguably the best for photographers. Throw in that sense of being in a place that hasn't changed for centuries, and sometimes millennia, and you get some of the most inspiring, and inspired...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kipigo cha aibu alichopigwa bondia Mtanzania Seleman Said hakijatutangaza kidunia na kuimarisha sekta ya utalii?

    Nadhani yatupasa tusimlaumu wala kumsema vibaya Bondia Selaman Saidi kwa aibu ya Kufungia mwaka aliyotupa Watanzania jana pale nchini Saudi Arabia bali badala yake nadhani Watanzania wote hasa kwa Serikali kupitia Waziri wake Hamis Kigangwala wanatakiwa wamuandalie Mapokeza makubwa sana ambayo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la Makumbusho ya Taifa Posta mnatia aibu Wizara ya Maliasili na Utalii

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mdau wa sekta ya utalii na tunaleta wageni wengi tu hapo Makumbusho ila kutokana na aibu na fedheha kutoka kwa wageni tunaowaleta imebidi niliseme hili. Choo kinachoonekana pichani kinatumika na wageni pamoja na wafanyakazi wa shirika la Makumbusho...
  19. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali yanunua ndege ili kuutangaza utalii wa nchi yao

    Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii. Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali...
  20. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Hasunga amsaidia Kigwangalla kunadi vivutio vya utalii

    Wakati Dk Hamis Kigwangalla akiambatana na wasanii wa bongofleva kuhamasisha utalii wa ndani, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametoka kivingine. Kwa kutumia fursa ya Tanzania kuandaa mkutano wa kimataifa uliowakutanisha wadau wa korosho kutoka kila pembe ya dunia, Waziri Hasunga ameviuza...
Back
Top Bottom