utalii

  1. Cvez

    JamiiForums Tanzania Wadau wa utalii mna mtazamo gani kuhusu uamuzi mpya ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii?

    Serikali imeazimia kuipa mamlaka TRA kuhusika moja kwa moja na ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii katika taasisi hizi TANAPA, NCCA, na TAWA. Je, huu uamuzi kwa mtazamo wako una athari chanya au hasi katika utalii?
  2. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mwongozo wa Taifa katika kuendesha Shughuli za Utalii nchini wakati huu wa janga la Corona

    Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo. Akizindua...
  3. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania TTB yafanya Mkutano na mabalozi kuweka mikakati ya kutangaza utalii Kanda ya Asia, Australia

    BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imefanya mkutano na Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi zilizopo kanda ya Asia na Australasia kwa lengo la kuimarisha mikakati thabiti ya utekelezaji wa kuvitangaza vivutio vya utalii wakati wa kipindi hiki ambapo sekta ya utalii duniani...
  4. falcon mombasa

    JamiiForums Tanzania Wazalendo tusaidiane kuishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kuboresha utalii

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi sio mtaalamu sana wa masuala haya ila naamini bado sio sababu ya kushindwa kukusanya maoni kuishauri serikali kupitia wizara ya utalii nini kifanyike kukuza utalii. Nasisitiza tuweke uzalendo kwanza kwenye thread hii. Hii ni nchi yetu sote sisi na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sanaa na Utamaduni uwe chini ya Wizara ya utalii

    Sanaa zetu zinatakiwa ziwe chini ya wizara ya mambo ya nje na kuweza kutangazwa na kuleta pesa za kigeni. Vilevile kuwaletea vipato wasanii wetu. Kwa sasa wizara waliyopo wamekuwa kama viranja tu wa kukosoa na kupiga faini bila kusaidia kuwaongezea vipato wasanii. Wasanii wetu na sanaa kwa...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

    Kigwangalla awacharua wanaomsema hajui kingereza asema sio sifa kuijua Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza. “Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Utalii Ajira zazidi kupotea tuwaombe wenzetu-Arusha

    Hali si swari kwa wenzetu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kwenda utalii nchi jirani ya Zanzibar. Naombeni utaratibu

    Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii. Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day. Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

    Nyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo? Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha. Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusakamwa sana, Dkt. Kigwangalla azindua video ya vivutio vya utalii aliyoibuni, asema sasa watalii wataanza kumiminika Tanzania

    Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote. Dkt. Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia...
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania CORONA: Bila mikakati mipya, Utalii Tanzania huenda ukashindwa kuinuka?

    Kuna mambo kadhaa ya kufahamu kwa kina kabla ya kujadili hili. Kwanza tuukubali ukweli huu kuwa, kusambaa kwa Corona duniani ndio kuliko pelekea kusimama kwa shughuli za utalii hapa Tanzania. Sio mtu, watu au mamlaka fulani iliyoamuru kusitisha shughuli za utalii hapa Tanzania. Watalii wenyewe...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Tafsiri ya ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii

    Utalii sasa hivi umekuwa haramu kwa wengi
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

    Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Nyungu ziwe kivutio cha utalii

    Wazungu na wageni wote wanaokuja Tanzania wafundishwe jinsi ya kupiga "NYUNGU" kama utamaduni ikinaweza kuwa kivutio cha utalii! Wawepo wataalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuzitumia kwa wale watakao vutiwa hii kitu inaweza kuwa kivutio cha utalii kwa nchi na kuongeza watalii na mapato...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

    Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona. Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla...
  16. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Utalii na Corona - Ikiwapendeza NSSSF itapunguza makali kwa wafanyakazi

    Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara na mengine kutokulipa kabisa kwa miezi kadhaa ijayo kwani haijulikani janga hilo litachukua muda...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Sekta ya Utalii ndiyo inayoongoza kwa kuathirika sana kufuatia kuingia kwa Covid 19

    Waziri wa maliasili mh Kigwangalla amesema hapa nchini sekta ya utalii ndio imeathirika sana na uwepo wa Corona ukilinganisha na sekta nyingine. Mashirika ya ndege yamesimamisha safari, mahoteli yamefungwa, watalii wamefuta safari na Hifadhi zetu zinakosa ada za watalii ili ziweze kujiendesha...
  18. Cvez

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Utalii Tanzania ijiandae kwa maisha ya Corona na baada ya Corona

    Janga la Corona mpaka sasa hivi limeathiri nyanja mbalimbali za uchumi. Ingawa mpaka muda huu sekta ambayo imeathiriwa zaidi na ipo ICU ni sekta ya Utalii. Nchi nyingi zimefanya lockdown, kuna kufutwa kwa safari za anga. Hivyo hoteli, migahawa, tax drivers, wakulima, wavuvi, tour companies na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Sekta ya Utalii itaporomoka sana Duniani hata baada ya ugonjwa kudhibitiwa

    Inasemekana hadi sasa sekta ya Utalii ndio imepata pigo kubwa sana kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa Corona. Wataalamu wanasema nchi zinazotegemea sana utalii katika uchumi wake zitayumba sana hata baada ya ugonjwa huu kudhibitiwa. Inashauriwa Wachumi na wanasiasa waanze kubuni sasa mikakati ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wahakikishiwa uwepo wa akiba ya kutosha ya chakula, Waziri Hamad aitaka BOT na WB kusaidia uchumi

    Waziri Amina wa SMZ amesema Zanzibar ina akiba ya kutosha ya chakula ukiwemo mchele na sukari na kwamba hata sasa kuna meli yenye tani 600 za mchele bandarini na ameelekeza mchele huo utolewe haraka. Hivyo amewataka wananchi kutokuwa na hofu ya upungufu wa chakula katika kipindi hiki cha...
Back
Top Bottom