Nashauri Tanzania iige mfano wa nchi ya Rwanda katika kutangaza utalii nchi za nje

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,568
2,000
Kama ilivyo ada tunatakiwa tutangaze utalii wetu nje ya nchi yetu na shughuli hii inatakiwa kufanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Taifa ya Utalii.

Jana wakati mchezo wa Leicester dhidi ya Arsernal kwenye uwanja wa Arsenal niliona matangazo yaliyosomeka "Visit Rwanda - the best Country".

Nilijiuliza sana ni nini nafasi ya nchi yetu kwenye suala la kutangaza utalii nchi za nje. Nashauri muige mfano wa nchi ya Rwanda katika kutangaza utalii wetu nchi za nje.
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,254
2,000
Kama ilivyo ada tunatakiwa tutangaze utalii wetu nje ya nchi yetu na shughuli hii inatakiwa kufanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii na Bodi ya Taifa ya Utalii....
Mbona Rwanda ndio wameiga kwa Tanzania, Tanzania ilianza mwaka 2015 kutangaza UtaliIii wake kupitia EPL katika Uwanja wa Klabu ya Sunderland lkn kwakuwa akili zenu kila kitu mnaangalia Rwanda huwezi sasa kufikiria nje ya Box.

Hivi Kagame anawapa nini kila Wakati mnabana pua Rwanda, Rwanda ma-nina zenuuuuuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom