Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,004
- 20,300
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda, sasa tumeambiwa pato litaendelea kupanda kila mwaka, yajayo yanafurahisha.
Blue Pearl iliypokuwa Ubungo Plaza imefungwa, Sapphire ya Nyerere Rd imefungwa, dah huu mwaka mpaka tufike 2020 wanafunzi wa sekondari watahamishiwa hizo hoteli
Pichani ni city lodge ipo mkabala na mahakama ya Kisutu Dar imefungwa na sasa inapangisha popo na buibui bure, hakuna wateja, miradi imesimama, cement na sukari imepanda, mafuta ya kula yamepanda, MATAGA