Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

6 Pack

JF-Expert Member
Apr 17, 2022
1,826
4,076
Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana.

This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo.

Mimi mwenyewe pamoja na uzoefu wangu wa kung'oa visu, ila kwa huyu nilipata tabu sana kumtengeneza mpaka akatengenezeka, na kunikabidhi mwili wake na maisha yake.

Tatizo ni kwamba beauty huyu anauwa ndege wawili kwa jiwe moja. Yaani anatumiliki mimi namlinda mipaka yetu kwa wakati mmoja, kitu ambacho mimi naona kama ni hatari zaidi kwangu na nikizingatia yakwamba mlinda mipaka huyo ndio mhudiamiaji mkuu kwa binti huyu, huku mimi nikiwa sitoi huduma yoyote ya maana zaidi tu ya kumpa msuguo takatifu hadi anajikuta anamsahau mlinda mipaka yetu na kupelekea kutokuelewana na soja huyo.

Wakati tunaanza uhusiano wetu alikuwa ananiambia kuwa mjeshi huyo ambae ni mkubwa kiumri na kicheo ni baba yake, lakini baadae nikaja kugundua kuwa ni mchepuko wake, na ndio unaompangia, unaomlisha, unaomvalisha, unaompendezesha nk.

Sasa toka nilipogundua kuwa anamilikiwa na mjeshi nimeshajaribu kumwambia demu tuachane ili abaki na huyo mjeshi wake, demu amegoma eti hawezi kukubali niachane nae kwa sababu ya huyo soja.

Anasema pamoja na kwamba mjeshi anatoa huduma zote za malazi, mavazi na kumuonesha upendo wa kweli, lakini bado kuna baadhi ya mambo muhimu kwenye mwili wake huwa hayapati mpaka anapokutana na mimi kwenye 6 kwa 6.

Sasa wakuu hii hali inanikosesha amani, kwa sababu najua siku huyu soja akigundua atafanya jambo baya aidha kwangu au kwa huyu beauty. Ndio maana nimekuja kwenu kuomba ushauri kabla mambo hayajaharibika.

Ni vyema nikawahi kuchukua tahadhari kabla ya hatari.
 
Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana.

This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndomaana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo.

Mimi mwenyewe pamoja na uzoefu wangu wa kung'oa visu, ila kwa huyu nilipata tabu sana kumtengeneza mpaka akatengenezeka, na kunikabidhi mwili wake na maisha yake.

Tatizo ni kwamba beauty huyu anauwa ndege wawili kwa jiwe moja. Yani anatumiliki mimi na mlinda mipaka yetu kwa wakati mmoja, kitu ambacho mimi naona kama ni hatari zaidi kwangu na nikizingatia yakwamba mlinda mipaka huyo ndio mhudiamiaji mkuu kwa binti huyu, huku mimi nikiwa sitoi huduma yoyote ya maana zaidi tu ya kumpa msuguo takatifu hadi anajikuta anamsahau mlinda mipaka yetu na kupelekea kutokuelewana na soja huyo.

Wakati tunaanza uhusiano wetu alikuwa ananiambia kuwa mjeshi huyo ambae ni mkubwa kiumri na kicheo ni baba yake, lakini baadae nikaja kugundua kuwa ni mchepuko wake, na ndio unaompangia, unaomlisha, unaomvalisha, unaompendezesha nk.
Sasa toka nilipogundua kuwa anamilikiwa na mjeshi nimeshajaribu kumwambia demu tuachane ili abaki na huyo mjeshi wake, demu amegoma eti hawezi kukubali niachane nae kwa sababu ya huyo soja.

Anasema pamoja na kwamba mjeshi anatoa huduma zote za malazi, mavazi na kumuonesha upendo wa kweli, lakini bado kuna baadhi ya mambo muhimu kwenye mwili wake huwa hayapati mpaka anapokutana na mimi kwenye 6 kwa 6.

Sasa wakuu hii hali inanikosesha amani, kwa sababu najua siku huyu soja akigundua atafanya jambo baya aidha kwangu au kwa huyu beauty. Ndo maana nimekuja kwenu kuomba ushauri kabla mambo hayajaharibika.

Ni vyema nikawahi kuchukua tahadhari kabla ya hatari
Mwanamke sio ndugu yako 🀣🀣🀣🀣🀣
Ukipigwa na kitu kizito usijekulalamika humu

Nimekaa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰

Kwaiyo una miliki kabsa chombo ya mjeshi na una amani ya moyo yangu macho mkuuu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜πŸ˜
Screenshot_20230510-022930~2.png
 
Jinasibishe na mazoezi haya
1. Kichurachura
2. Pushup za nakoz
3. Kushika maskio mgongo mbinuko
4. Kujigalagaza uwanja mzima wa mpira siku za mvua kwenye matope tizi linanoga
5. Kuhamisha maji kwenye mapipa kwa kijiko
6. Kusokomozewa hard material

Piga tu tizi mwana kama hyo k ni tamu kias hiko mjeda k2 gan ebo
 
Mwanamke sio ndugu yako 🀣🀣🀣🀣🀣
Ukipigwa na kitu kizito usijekulalamika humu

Nimekaa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰

Kwaiyo una miliki kabsa chombo ya mjeshi na una amani ya moyo yangu macho mkuuu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜πŸ˜
View attachment 2624753
Ananipa moyo kwamba jamaa hawezi kuja kujua kamwe. Ila mimi machale kila wakati yananicheza 🀣🀣🀣
 
Jinasibishe na mazoezi haya
1. Kichurachura
2. Pushup za nakoz
3. Kushika maskio mgongo mbinuko
4. Kujigalagaza uwanja mzima wa mpira siku za mvua kwenye matope tizi linanoga
5. Kuhamisha maji kwenye mapipa kwa kijiko
6. Kusokomozewa hard material

Piga tu tizi mwana kama hyo k ni tamu kias hiko mjeda k2 gan ebo
Tatizo ameniganda kiasi ambacho nashindwa kujua nitaachana nae vipi.
 
Jinasibishe na mazoezi haya
1. Kichurachura
2. Pushup za nakoz
3. Kushika maskio mgongo mbinuko
4. Kujigalagaza uwanja mzima wa mpira siku za mvua kwenye matope tizi linanoga
5. Kuhamisha maji kwenye mapipa kwa kijiko
6. Kusokomozewa hard material

Piga tu tizi mwana kama hyo k ni tamu kias hiko mjeda k2 gan ebo
Nimecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo dem ni mchepuko wako au main chick mana kama unajua kabisa anatembea na mtu mwingine na haikukereketi kuna shida mahala..
Tulipoanza nae malengo yangu makuu yalikuwa ni kumsoma binti kwanza, afu nikiona anasomeka ndo niwekeze moja kwa moja.

Sasa wakati nilipokuwa kwenye process ya kumsoma, ndo nikaja gundua kuwa kuna mlinda mpaka ameshaingia mazima kitambo.

So ikabidi mimi nipunguze speed na niangalie namna ya kujitoa. Cha kushangaza demu hata kusikia swala la mimi kujitoa, anataka niendelee kumpa dozi kimya kimya akiamini kwamba mjeshi huyo hatoweza kujua kitu.
 
Jinasibishe na mazoezi haya
1. Kichurachura
2. Pushup za nakoz
3. Kushika maskio mgongo mbinuko
4. Kujigalagaza uwanja mzima wa mpira siku za mvua kwenye matope tizi linanoga
5. Kuhamisha maji kwenye mapipa kwa kijiko
6. Kusokomozewa hard material

Piga tu tizi mwana kama hyo k ni tamu kias hiko mjeda k2 gan ebo
Kumaliza mche wa sabuni kwa maji ndoo moja
 
Ananipa moyo kwamba jamaa hawezi kuja kujua kamwe. Ila mimi machale kila wakati yananicheza 🀣🀣🀣
Wasiwasi ndiyo akili stuka wewe. Wanawake wapo kama watoto siku akibanwa au akifurahishwa kidogo tu anakutaja. Atamwqmbia wewe unamlazimisha
 
Back
Top Bottom