Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 264
- 405
Habari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE) kwenye masomo ya combination. Nia yangu ilikuwa kusoma data science km matokeo yangekuwa mazuri. Lkn baada ya matokeo nkapata wazo jipya.
Nia yangu ni kusoma MARINE ENGINEERING (hapo pia naomba ushauri kwa hii KOZI kwa wale wazoefu, katika utafiti wangu mdogo niliofanya naona hii ndo career sahihi) pale DMI kwa ngazi ya diploma lkn kwa wakati huohuo nataka kusoma open university kozi ya foundation ili niweze kujiunga na degree (kozi ni tofauti na hiyo diploma ndo mana nataka nifanye hivyo). Ntaka degree ya Bsc. in molecular biology and biotechnology au data science.
Pia nishawahi kusikia kuna mtu alisoma Diploma na huku anasoma degree online university lkn ya nje, na akahitimu kwa wakati mmoja.
N.b Ila kama mtu Una wazo au ushauri zaidi napokea, najua humu kuna watu wenye uzoefu na wabobezi hivyo haishindikani kupata madini ya kutosha.