Nataka kuacha kazi

Faru01

Member
Jun 29, 2022
28
89
Wakuu kwema?

Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na mwisho😂😂😂.

Nataka kwenda Dar es Salaam kutafuta zaid nianze upya. Ushauri wenu wakuu🙏🙏🙏nikifika Dar nianzaje maana sijawah kufika kabisa.
 
Karibu daslam mkuu. huku kulala bila 15k mfukoni ni uzembe wa mtu tu. madili nje! nje!. kazi kidogo tu pesa unapata nyingi
 
Wakuu kwema?

Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na mwisho😂😂😂.

Nataka kwenda Dar es Salaam kutafuta zaid nianze upya. Ushauri wenu wakuu🙏🙏🙏nikifika Dar nianzaje maana sijawah kufika kabisa.
Kama ni kwenda Daslam, nashauri usiende na hela mkuu. Daslam nenda na akili tu, hela utazikuta hukohuko.
 
Back
Top Bottom