ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenu ACT Wazalendo, msifanye makosa yaliyofanywa na CHADEMA ya kuratibu maandamano na migomo. Jikiteni kwenye mikakati na mipango

    Ushauri huu ni mahususi kwa ajili ya ACT Wazalendo na vyama vingine vyenye muelekeo kama huu wa kuratibu maandamano na 'attention seeking' na nimetumia neno 'attention seeking' kwa sababu za ushiriki wao wa siasa za matukio ,kunapokuwa na tukio Chama kinaibuka na baadae kinapotea. Kwa mazingira...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
  3. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tufundishe Kiswahili na English kuanzia darasa la kwanza kwa manufaa ya taifa

    Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu wana aminisha kwamba hakuna umuhimu wa kujua kufundisha English kwa elimu ya msingi wakati watoto...
  5. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Nilipata Tsh 2.5m kwenye Betting, mpaka sasa nimebakiwa na Tsh 1.4m

    Mwezi ulioisha nikiwa nabet na kampuni la 1xbet, nilifanikiwa kukusanya pesa mpaka ikafika 2.5 million. Baada ya mwezi kuisha upepo ukakata mpaka sasa nimeliwa na imebaki 1.4million. Najuta sana maana mwanzo kabisa niliwaza nikafungue playstation ila nikawa najivuta kutokana na kuwa busy na...
  6. Mtuflani Official

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usidanganywe na wanaokushauri kuhusu utoaji vibali vya wageni

    Wasaidizi wako wanakudanganya kwa sababu wanafaidika na “kitu kidogo” Usidanganywe na hao wanaokushauri kuhusu utoaji vibali vya wageni. Kwanza kazi nyingi humu nchini zinaweza kufanywa na wazawa. Kuna umuhimu wa kua na limit ya wageni ambao kampuni inaruhusiwa kuwaingiza humu nchini...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wa Tanzania: Mkiwa katika usingizi wa pono wao wanajichotea nyama zote

    Ebu kuweni makini huko serikalini watu wanajipakulia Nyama zote huku nyie mkiwa katika usingizi wa pono na mkiaminishwa kuwa ushoga ndo habari ya kufatilia hii ni spinning ili wao wajichotee Nyama zote. Mkija Kupata ufahamu mtajikuta mmechelewa hakuna Mtu ambaye hajui kuwa ushoga ulikuepo hapa...
  8. Okrap

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine. Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu kisha anageukia upande...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kuhusu tatizo la nguvu za kiume

    Nina rafiki yangu wa karibu Sana tulisoma nae hiyo miaka ya nyuma shule,ni mtu tumeshibana sana ila mimi nilipoenda kusoma ndipo tukawa tupo mikoa tofauti tofauti Sasa hivi karibuni nikaona mwana amenitafuta akaniambia ana changamoto kubwa sana, nilivyojaribu kumdodosa akasema ana shida ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara yangu inayumba lakini sijawahi kukopa, nifanyaje?

    Wakuu habari. Mi ni mfanyabiashara, Ila kwa Sasa biashara yangu niliyokuwa naitegemea imekwama. Nataka kujikwamua kutoka hapa nilipo. Sijawahi kukopa, Ila kwa hali niliyofikia inanilazimu nitafute mkopo au partnership wa biashara. Nina nyumba nne, mojawapo naishi mwenyewe, Kodi mpaka mwezi wa...
  11. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, Mke wangu ana mimba nyingine

    Habari muda huu Wana JF poleni na majukumu mbalimbali na ramdhani Kareem kwa ndugu zangu waislamu. Juzi siku ya jumamosi mke wangu alianza kutapika uku akilalamika anajisikia uchovu, leo Imebidi nimpeleke hospital kwa ajili ya vipimo Mana Hali iliendelea vilevile, baada ya vipimo imegundulika...
  12. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Meno kulegea, tiba na ushauri

    Meno Legelege ni nini? Meno yaliyolegea ni ya kawaida kwa watoto. Wana meno ya maziwa ambayo hatua kwa hatua huchukua nafasi ya meno ya kudumu. Lakini meno huru kwa watu wazima ni suala la wasiwasi. Hii inaweza kuwa ishara ya ugonjwa wa msingi au afya mbaya ya meno. Kabla ya jino lililolegea...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta 'connection' kwa watu na si kuomba pesa

    Kutokana na ugumu wa Maisha hasa Tanzania ni Bora uombe connection ya Kazi kuliko PESA. Maana kuweka Vocha ya mia tano ili umpigie Mtu akitumie elfu moja hiyo Biashara hailipi Kabisa. Ukitaka Mwanaume smart na marafiki smart usiombe pesa omba Kazi Naongea hivi kwasababu Kuna Jamaa yangu...
  14. plan z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  15. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Heri ya Pasaka wana JamiiForums, Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum. Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member. Naamini JF itakuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri bodi ya TRC iwe na wafanyabiashara zaidi!

    Utamaduni wa kujaza wasomi na walimu wa vyuo kwenye bodi za mashirika hayana tija. Kwenye bodi hizi mtaalamu sana sana awe mmoja na walionaki wawe watu ambao wanajua na kutumia reli mfano wafanyabiashara wa mizigo inayoenda nchi za nje, wataalamu wa kodi lakini watoke kwenye kampuni binafsi na...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    Habari, Naitwa Ikra nina miaka 24, mkazi wa Dar Temeke, nilihitimu masomo yangu ya kidato cha 4 mnamo mwaka 2016 na nilipata Division 4 ya (29), japokuwa darasani nilikuwa niko vizuri sana hata matokeo sikuyatarajia kiasi hicho, maana yalini-disappoint kiukweli, nikapanga ni risiti ila mipango...
  18. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa benki ya NBC kwenye udhamini wa ligi ya Tanzania

    Habari wakuu, Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara. Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mashirika ya kibiashara ya Umma

    Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa ushauri wangu walau kwa jambo moja tu kwa leo. Ni kuhusu shirika la ndege ATCL. Ukweli unaojulikana na...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wa Tanzania

    Zama hizi ukitaka kufa kwa Msongo wa Mawazo basi hakikisha hauna fani yoyote. Fani ni muhimu, kama hauna ujuzi unategemea cheti chako cha chuo kikuu basi kazi unayo. Hakikisha unajitofautisha, usiwasubiri wanasiasa waje wakupangie maisha.
Back
Top Bottom