wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Habari,
Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.
Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.
Ahsante
JF salaam,
Ni miaka takribani 17 tangu kituko hiki nikifanye nikiwa O Level kweli bangi inawenyewe. Nikiwa na marafiki zangu watano mi nikiwa 6 kati yao wa3 walikuwa wanakula bangi na darasani wanafanya vyema sana yaani tano bora muhimu wawemo.
Hili lilitufanya tuwaze sana na jamaangu wa...
Habari wanajamii naomba msaada wenu, miaka takribani mitano nyuma nilikuwa kwenye mahusiano ambayo yalipelekea kuwa mzazi wa mtoto mmoja wa kiume.
Kiuhalisia maisha hayakuwa mazuri sana ila tulikuwa na furaha na tuliishi kwa kupendana sana. Safari yetu ilikuwa nzuri kiujumla, lakini ikatiwa...
Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali..
Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.
Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi.
Katika maelezo ya waziri, amesema NHIF ni muhimili mkubwa wa kugharamia huduma za afya hapa nchini na kuwa takribani asilimia...
Anonymous
Thread
afya
mbovu
nhif
ushauri
viongozi
waziri
waziri wa afya
wivu
Kila kukicha tunashauri tubane matumizi katika kila eneo, sasa mimi nikiwa mwanchi wa kawaida kabisa nashauri yafuatayo kwa Watawala kuhusu kupunguza matumizi makubwa ya Serikali.
(1) Wananchi tumeshuhudia misafara mikubwa ya magari ya umma yakisindikiza misafara ya Viongozi Wakuu mfano Mhe...
Wakubwa habari za mchana?
Bila shaka mnaendelea vema na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni moja ya watu ambao wanamfuatilia sana Prof. Janabi, Mkurugenzi mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Huyu mtaalamu anatoa ushauri mzuri sana juu ya watu kuzingatia ulaji wa...
Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.
Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa.
Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
Mungu amemjalia maisha marefu mzee wetu huyu, mpaka sasa anaikaribia miaka 100.
Pamoja na kuwa tunasema ni kwa neema na kudra za mwenyezi Mungu lakini nina uhakika kuna mambo huwa anaepuka kuyafanya ama huyafanya kwa kiasi mpaka kuufikia umri huu.
Basi ni muda umefika mzee wetu aulizwe ili...
Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA TAN) imeeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na tukio lilotokea mnamo February 19, 2024 la kufukuzwa kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu katika kikao cha ushauri cha wilaya ya Bariadi, kilichofanywa na Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Simon Simarenga...
Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme hauaminiki. Umeme hauzoeleki. Umeme unagawiwa. Unaleta athari kubwa kwa wananchi na kwa nchi.
Mimi...
Kipindi linatokea hilo tukio mimi nilikuwa ni mgeni kwenye hiyo mitaa kuna biashara yangu niliihamishia huo mtaa.
Nyumba niliyokodi frem nilikuta yeye akiwa tayari anabiashara hapo,
nilihamia hapo kipindi akiwa na mgogoro na mmewe, kwa maana hiyo mume sikuwahi kukutana nae wala kumfaham...
Mwili una mifumo imara ya kutambua mapungufu na mahitaji yake.
Kwa hiyo jaribio lolote la kuuelekeza (to dictate) mwili nini cha kufanya ni kuharibu miitikio ya kimaumbile.
Mwili hutoa viashiria mbalimbali unapokuwa na mahitaji ama mapungufu;
1. Kiu.........maji.
2. Njaa....chakula.
3...
Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe.
Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya...
Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.
Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga...
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?
Please ushauri wenu...
Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one.
Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025.
Mwaka huu anasema anataka akasome course moja wapo kati ya hizi.
1. Bachelor of Computer science
2. Bachelor of Chemistry
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.