Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

Ulinunua godoro la density ngapi? Next time nunua lenye density 28 kwenda juu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Weka lugha rahisi, sisi tunanunua kwa unene yaani kipimo cha inchi 4, 6 nk. Density kwetu ni kitu kipya na si kosa kutokuijua, weka lugha rahisi ili utusaidie.
Pia godoro ndilo hilo kama mtumbwi, afanyeje kulirekebisha? Kama uwezekano upo.
 
Habari,
Naomba ushauri kuhusiana na magodoro yanayobonyea kwa kati mana nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.

Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.

Ahsante
Mkuu ilo Godoro lako wamekubambikia ya Manzese ayo fake, gawa tu ilo kanunue kiwandani moja kwa moja tena utapata Original kwa bei nafuu, mm niliensa Comfy kiwandan ,nina mwaka wa 8 hu natumia hakuna kubonyea wala nn.
 
Unaangaliaje density 28 wengi wetu tunajali Inch Kubwa tu.
Brand gani nzuri kwa sasa sokoni
moja ya makosa makubwa wanayofanya kampuni za kuzalisha bidhaa tofauti na Apple ni kuzalisha bidhaa kwa kufata vipato vya watu.

kanuni inatakiwa kuwa moja,unataka kitu imara/bora lazima upasuke kwenye bei.

hii itafanya kampuni kushikilia identity yake,angalia anachofanya dodoma kwenye sekta hiyo.
 
Weka lugha rahisi, sisi tunanunua kwa unene yaani kipimo cha inchi 4, 6 nk. Density kwetu ni kitu kipya na si kosa kutokuijua, weka lugha rahisi ili utusaidie.
Pia godoro ndilo hilo kama mtumbwi, afanyeje kulirekebisha? Kama uwezekano upo.
Nunua godolo katika kampuni hizi pekee hapa Tanzania

No 1 QFL dodoma( sisitiza QFL hilo neno QFL lisisitize kwa herufi kubwa) ukizembea na DODOMA utapigwa

No 2 TAN FOAM ARUSHA

No 3 upa BANCO

No 4 VITA FOAM (vita SUPREME VITA RAHA)


Yaan fuata huo mtikiliko wa namba ukikosa fulani atilist upate fulani katika hizo namba
 
M
Nunua godolo katika kampuni hizi pekee hapa Tanzania

No 1 QFL dodoma( sisitiza QFL hilo neno QFL lisisitize kwa herufi kubwa) ukizembea na DODOMA utapigwa

No 2 TAN FOAM ARUSHA

No 3 upa BANCO

No 4 VITA FOAM (vita SUPREME VITA RAHA)


Yaan fuata huo mtikiliko wa namba ukikosa fulani atilist upate fulani katika hizo namba
Hayo magodoro ndiyo tunayo nunua japo si rahisi kununua kutoka kwenye makampuni uliyoyataja bali toka madukani ambako wauzaji hawajui Density ni nini. Je, kuna sehemu yoyote kwenye godoro panaonesha hiyo Density?
QFL kabla ilikuwa Magodoro ya Dodoma mpaka pale kiwanda kikaungua moto, baada ya hapo ukatokea mgawanyiko wa Magodoro ya Dodoma na QFL Dodoma.
TanFoam Arusha kipo miaka mingi sana kabla ya 1970.
Hiyo Density kwa lugha nyepesi ni nini?
 
Aisee na mm hili langu limekaa kama mtumbwi limebonyea katikati
Nilinunua Tuf foam inch 10
 
..nimenunua godoro halijamaliza hata mwezi na sasa hivi linabonyea kwa sana hapa kati na ni kama nimelala kwenye mtumbwi.

Naomba ushauri jinsi ya kutatua hii hali kwa waliopitia hii hali.
Duh..
Haijamaliza mwezi lishakuwa kama mtumbwi?
Ni la kampuni gani? Ungetaja kuokoa wadau wengine wasiende kupigwa huko.

Ongea na aliyekuuzia, labda alikupa lenye hitilafu anaweza kukubadilishia.

Kama muuzaji haeleweki, kwa usalama wa kiuno na mgongo wako, inabidi ununue lingine jipya upesi, hakuna namna
 
TUF China original ndio ushaingizwa mjini hapa mkuu siku nyingine uliza JF kabla huenda kununua hapa ni jungu kuu.
 
hilo godoro halifai kwa matumizi
ukiendelea kulitumia utakuja pata shida
ya mgongo hapo
baadae
nunua tanfoam hutojutia
 
GSM FOAM
TUF FOAM
godoro laki kubwa kama kitanda
after month ukiamka asubui unaliacha limelala (limebonyea) unarud jion unakuta bado limelala
Mimi natumia hilo la GSM 10 inch's...Lina lingana na mwanangu wa kwanza Lina miaka 7. Halibonyei kabisa...!

Nadhani nilinunua kipindi hiyo kampuni inaanzishwa​
 
Back
Top Bottom