X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,680
- 12,255
Kuna tabia mimi binafsi niseme tu ina kera sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "Mambo mkuu" ujumbe kama huo una kera sana.
Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point kuna watu hawana muda wa kuchat chat ila ukihitaji helping hands kwao unapata.
Mfano umeona andiko langu la Connection za kazi nje ya nchi: Qatar, Oman, Dubai, Saudi, UAE
Ukinifuata inbox njoo directly to the point jukumu la kukusaidia au lah nitabaki nalo mimi...
Ila ukiniandikia ujumbe "Mambo" nahisi kama una ni dharau au haupo makini ama hujali muda.
Tujitahidi sana kujari muda na kuheshimiana dhamani fursa kuzipata ilikuwa ni ngumu sana. Ila siku hizi fursa zinakufuata popote ulipo.
Mfano wa ujumbe wa mtu mwenye kujielewa
"Samahani mkuu nimeona andiko lako juu ya ajira ughaibuni mimi ni kijana ninae tafuta fursa sehemu mbali mbali ulimwenguni....Kama huto jali ninaomba mawasiliano yako nje ya jamiiforums ili ujue jinsi gani unaweza kunisaidia...Namba zangu za simu ni 07xxxxxxx naomba unitafute mkuu."
Ila mtu anakuja pm anakuchatisha kama anakujua vile😭😭😭
Nimeona niwashauri maana mnaweza kupoteza fursa kwa kushindwa kujieleza.
Ni hitimishe kwa kusema kimeseji cha "Mambo" kina kera sana tujitahidi kwenda straight to the point....🙏🙏🙏🙏