ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Salim Abdallah 'Try Again' na Murtaza Mangungu ikiwapendezeni nawaomba msiende Uwanjani Kwa 'Mkapa Derby' hii ijayo zingatieni huu Ushauri wangu

    Kuna Wapumbavu wanataka Kuwaangushieni Zigo la Mavi ( Nnya ) pale Timu ikifungwa basi Lawama zote zielekezwe Kwenu wakati GENTAMYCINE nina uhakika kuwa Adui namba moja wa Simba SC yetu ni Mwekezaji Mohammed Ghullum Dewji ( Tajiri Kibyongo ) na kamwe wala siyo nyie na hata kama ni kweli nanyi mna...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa nchi ya kwenda kati ya hizi kufanya biashara ya soksi

    Wazoefu naombeni ushauri wenu kwenye hili.. nahitaji nchi ya kwenda kuuza bidhaa zangu, nauza socks kariakoo, katika kutaka kujitanua na kutafuta wateja ni Wapi katika hawa jirani zetu panaweza kufaa? Kati ya Congo, Malawi, Zambia au Msumbiji?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ushauri

    Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi kikubwa lakini changamoto sipati kazi na wala sijui cha kufanya. Sehem niliyo anza kufanya kazi kama...
  4. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niende Advance au chuo?

    Habari, Nimehitimu mwaka jana nimefaulu masomo yote na pia na division 1 lakini nilikuwa na ndoto za kusomea mambo ya technogy ikiwemo computer science Mpaka sasa nina utata niende Advance au chuoni. Nimejaribu kuchukua ushauri wa watu mbalimbali kuna ambao wananishauri niende chuo nikasome...
  5. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu

    Salaam wakuu. Katika harakati za kutafuta kipi ni fanye baada ya masomo yangu ya ualimu hapo mwezi wa Saba, nimetoka Leo kuongea na Moja ya shule ya kanisa katoliki hapa jijini( niliwatumia letter of interest Leo wakaniita). Wamenambia kuwa baada ya kumaliza chuo nifanye kazi nao kwa miezi...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Hello! Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni. Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali. Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa. Unaweza kufungua duka, ukalima...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wazazi wanataka kumtafutia mchumba

    Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini. Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi kwa karne hii hua kuna vibe na kudumu kweli!? Kwa alie na experience 🙏🏿
  8. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Nataka kujenga frame ya biashara kwa mkataba

    Habar wakuu huku ndani, Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU. Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri wa kununua used Toyota Land Cruser

    NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX. Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000. Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hizi habari zipelekwe kwenye jukwaa lake

    Leo tumeamka na nyuzi za lugha mpya na zina dominancy ya kutosha humu, nashauri zipelekwe kwake kwenye eneo husika maana nimeliona lipo humu
  11. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kuchagua kazi hizi

    Habari za wakati huu wapendwa wana JamiiForums, Nina imani kabisa hapa kwenye jukwaa kuna watu wazima na wenye elimu walio elimika. Nimekuja hapa kwa lengo la kupata ushauri wa vitu vili vinanipa utata. Mimi ni kijana nimesoma elimu ya form six nikafaulu pia kuendelea na na ngazi za bachelor...
  12. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

    Habari wana JF Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Harmonize acha kuandika Kiingereza

    Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri. Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli Mbovu na zisizo na maana kwa wanaojua English pekee. BADILIKA MKUU.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri Used Samsung note 10 plus

    Naomba ushauri nataka kununua used Samsung Galaxy note 10 plus je ni nzuri?
  15. Vmatongo

    JamiiForums Tanzania Makonda chukua ushauri huu kuhusu kumsifia Hayati Magufuli

    Tayari umeapa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha na wewe sio mgeni kwenye kazi ya ukuu wa Mkoa ulishaitumikia hapo mwanzo wakati wa Hayati Rais Magufuli. Sasa napenda kukushauri hili. Enzi za Magufuri zimeisha pita sasa hivi tupo na Mama Samia ndio Rais wetu hii tabia yako ya kumsifu na kumuenzi sana...
  16. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watenda dhambi wenzangu

    Ninajiita mtenda dhambi ila niliyesamehewa, kwasababu hakika ninafichwa na kafara la Damu ya Yesu Kristo tu mbele za Mungu, na hii ni baada ya kukabidhi maisha yangu kwake kwa maana ya kuokoka. Amekuwa Mungu wangu, mwokozi wangu, akiniangalia hanioni mimi, anaona kafara la Damu ya Yesu kwasababu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia fanya haya makubwa nchi itabadilika na uchumi kukua

    Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo 1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: January Makamba apewe nafasi ya uenezi wa CCM

    This man is intelligent, smart and eloquent. Once mama appoints him to fill this post, she will rest a bit and see things moving.
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti...
Back
Top Bottom