Ushauri: Anataka kumzuia mkewe asifanye kazi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Screenshot_20240320-121546.jpg

Mke wangu amepata kazi mshahara wake ni mkubwa zaidi yangu na mkataba wake unasema atakuwa anatembelea gari ya kampuni wakati mimi sina hata gari. Nataka kumkataza asikubali hiyo kazi, je niko sahihi?
 
View attachment 2939884

Mke wangu amepata kazi mshahara wake ni mkubwa zaidi yangu na mkataba wake unasema atakuwa anatembelea gari ya kampuni wakati mimi sina hata gari. Nataka kumkataza asikubali hiyo kazi, je niko sahihi?
Wake zetu hutusaidia sana wakati tunapokwama au mambo hayaendi vizuri..

Na utukingia Vifua sana Na kutufanya Tuonekane wanaume bora hata kama hatuna huo ubora..

Usimkataze kufanya kazi hiyo huenda mbeleni mambo yakakuendea kombo na yeye ndo akawa msaidizi wako mkubwa!
 
Pesa ya Mwanamke ata akijinunulia nguo na vitu vyake vya urembo amekusaidia pakubwa .
Haina maana kuishi na mtu wa namna hiyo na mwenye fikra hizo.

Na kama huyo mwanamke anaye mzungumzia mleta mada ana fikra hizo basi hilo ni tatizo.

Nawe una fikra za namna hiyo ?
 
Shida ni kipato au ni kazi?
Peaneni malengo, afanye kwa miaka fulani; baada ya hapo wewe na yeye mjiajiri; kuajiriwa sana sio sifa
 
Back
Top Bottom