Natoa ushauri kwa ACT Mzalendo. Kwa mawazo yangu chama chenu kina nguvu kuliko nyie mnavyo jichukulia. Tatizo lenu ni kukubali kidogo bila kujua mkikomaa vizuri mnaweza kupata zaidi na nitawapa mifano.
Kila mtu anajua ACT mlishinda Zanzibar sasa ni kwanini mlikubali kuwa na mawaziri wachache badala ya kuwa na mwaziri 50% ni kwasababu mnakubali haraka na mnaonekana warahisi sana kukubaliana na ndiyo maana wamewapa mawaziri wachache. Sheria haziwezi kufuatwa tu pale CCM inapo wanufaisha mnatakiwa kukomaa sawa sawa. Tatizo mnaonekana ni soft na hili ndiyo litawafanya watu waone hamtawaweza CCM ingawa kule Zanzibar mnakubalika zaidi kuliko CCM.
Msiogope kuiga Chadema bila ukichaa kidogo mtabaki hivyo hivyo. Hata US inaogopewa na China kwasababu wanajua hawaogopi kupigana. ACT wazalendo brand yenu ni ya kukubali na hii itafanya mpewe 10% badala ya 60% ambayo kiukweli mnayo kule Zanzibar. Kiukweli una talent zaidi ya CCM Zanzibar na wapo tayari kuwapa zaidi lakini tatizo lenu una penda sana kuwa comfortable. Hata sasa hivi inaelekea kama vile mnaomba mazungumzo badala ya CCM kuomba mazungumzo. Raisi alimuomba Mbowe mazungumzo kwasababu ya nguvu yake hivyo msi nyenyekee sana CCM hawasaidii. Bila CCM kujua kwamba mnaweza kunukisha hamtapata haki yenu na hamtakuwa tofauti na CCM.
Kuna wakati mnatakiwa kuonyesha hasira kama wenzenu. Msije kufikiri hata siku mmoja kinana anawapenda ! Anapenda kwasababu hamuwasumbui na mnakubali wenyewe kubaki kutawala. Huwezi kuwa mstaarabu kwenye waiba kura, wapindisha sheria wa wauaji. Haya ni mawazo yangu komaeni acheni usoft soft CCM itawamaliza kwa huo “ ustaarabu”.
Mimi nilienda kwenye harusi ya kinana Arusha nikiwa mdogo tuna mfahamu sana sana. Hawapendi ni mfanyabiashara yule sio mwanasiasa hivyo