ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri: Dogo anataka kurudi Dar

    Dogo kamaliza chuo tu kapigiwa pande akapata kazi akapangiwa kituo mkoani. Kanipigia simu anasema anataka kuacha kazi, sababu maisha ya MKOANI hayawezi. Hivi mtu Kama uyo unamjibu nini ?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo Phy D math D chemia C Biology C. Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee mechanical engineering badala ya kwend advance maan combination zinabalance arts na mm Sina Nia ya kusoma arts
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri wa Ardhi na Makazi: Sikiliza pande zote mbili za mgogoro kabla ya kutoa maamuzi

    Tunakupongeza sana kwa juhudi zako katika kutatua migogoro ya ardhi katika nchi hii lakini ninakushauri uende pole pole na usikilize pande zote mbili yaani mlalamikaji na mlalamikiwa. Juzi ulikuwa hapa Mwanza na uliamuru nyumba ya Wakili msomi kuvunjwa. Wakati nyumba inavunjwa Wakili...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

    Wakuu kwema. Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani). Naomba ushauri wenu, kwa budget ya mwisho Laki 1.5 naweza kupata aina gani ya baiskeli? Itatosha au niongeze?Je kuna brand ya...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kuchagua sehemu ya kuishi kati ya hizi mbili

    Hataki tena ushauri.....
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kumzuia mkewe asifanye kazi

    Mke wangu amepata kazi mshahara wake ni mkubwa zaidi yangu na mkataba wake unasema atakuwa anatembelea gari ya kampuni wakati mimi sina hata gari. Nataka kumkataza asikubali hiyo kazi, je niko sahihi?
  7. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa abiria wa Bodaboda; Usipande bodaboda kama...

    Kama unatumia Bodaboda hasa maeneo ya MJINI pitia hapa! 1. Usipande bodaboda isiyokuwa na vioo vya pembeni (saiti mira) – side mirror Pikipiki ambayo haina vioo vya pembeni, dereva haoni gari linalokuja nyuma au hata akitaka kupinda, haoni nyuma hivyo uwezekano wa kugongwa ni mkubwa sana; ni...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni ushauri kuhusu pesa ya kujikidhi(boom) niliyokuwa naitunza

    Wakuu mdogo wenu nipo njia panda, naomba ushauri wenu. Mimi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu hapa Duce nachukua bachelor of science with education biology na geography. (Umri wangu ni miaka 23) Wakuu nimetunza boom toka nipo mwaka wa kwanza hadi sasa na milioni nne na laki Saba kama reserve yangu...
  9. Candela

    JamiiForums Tanzania Alianza kusoma BSc In Mechanical Engineering aka-drop out baada ya kuumwa. Je, kuna ofisi private zinazoweza kumpa kazi?

    Kuna kijana hapa alisoma BSc In mechanical Engineering, mwaka wa 3 semister ya 2 akaugua sana akashindwa kuendelea akaomba kuahirisha, mwaka uliofuata akaahirisha tena akae sawa kabisa. Alipotaka kurudi aendelee na masomo chuo walimpokea lakini bodi ya mikopo wakasema hana sifa kuendelea kupata...
  10. Trainee

    JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada; Je asomee kitu gani? Ana D kwa masomo yote kasoro Math's F na Kiswahili C

    Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea >>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>> NIT DIT NACTE
  11. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ndugu yangu!

    Jamaa yangu kaomba ushauri
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Jamaa Yupo sahihi?

    "After hustling all your life just to become successful, it will be a taboo to settle for a woman who used her prime jumping for one bed to another while you were busy grinding". "Kings, settle for a virgin"
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT Wazalendo

    Natoa ushauri kwa ACT Mzalendo. Kwa mawazo yangu chama chenu kina nguvu kuliko nyie mnavyo jichukulia. Tatizo lenu ni kukubali kidogo bila kujua mkikomaa vizuri mnaweza kupata zaidi na nitawapa mifano. Kila mtu anajua ACT mlishinda Zanzibar sasa ni kwanini mlikubali kuwa na mawaziri wachache...
  14. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia awe makini sana na viongozi wa EAC

    Nitaandika Kwa kifupi Tu. Hiv Karibun Rais wa Kenya William Somoe Ruto na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven wameonekana kuwa Chanda na Pete. Kwa history ya nchi zao kuna kila dalili wameona huu ndio wakat wanaweza kuiingia Tanzania kuliko wakati mwingine wowote. Ikumbukwe awali Rais wa...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kumfukuza Mkewe

    "Jamani naombeni mnishauri, mimi nimeoa na ninakaa kwa baba wa mke wangi. Sasa nimegundua mke wangu kanicheat, nataka nimfurumushe hapa nyumbani, sijui nyie mnaonaje?"
  16. T

    JamiiForums Tanzania Safi sana Mahakama ya Rufaa Tanzania

    Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024) Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua: From the analysis above and fortified with the authorities cited, the Court declares, and orders as follows...
  17. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania USHAURI: TANESCO kutokana na ukubwa wa huduma yenu kuna ulazima kuanzisha TANESCO KATA

    Nashauri kuwe na TANESCO kwa kila kata hata kukiwa na fundi mmoja tuu akasaidiana na hawa mafundi wasaidizi waliopo ili kutatua changamoto za umeme ambazo zinatokea kwa sababu kuna wakati inaanguka nguzo tu ya umeme lakini inaweza kuchukua hadi wiki 2 bado hawaja badilisha wakati huduma yao...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi? Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
  19. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mnaohitaji misaada mbali mbali mtandaoni/popote

    Kuna tabia mimi binafsi niseme tu ina kera sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "Mambo mkuu" ujumbe kama huo una kera sana. Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point kuna...
  20. masai dada

    JamiiForums Tanzania Naenda kulipia befoward honda step wgn ya 2011, naomba ushauri

    Naombeni ushauri kuhusu hii gari naenda kuilipia leo. Sina ufahamu wowote nimependa space tu.
Back
Top Bottom