ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

    Natanguliza shukrani, Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu. CIVICS"D" ENGLISH"C" GEOGRAPHY"C" KISWAHILI"C" HISTORY"C" BIOLOGY"C" CHEMISTRY"C" PHYSICS"F" MATH'S"F" Division III:22
  2. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

    Wataalam, Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania. Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto imekuja hapa baada ya kutaka kufikia hatua ya ndoa. Ni kwamba Binti nilikuwa nakaa naye nyumbani kwake...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ameniambia "Baba wa nini?"

    Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu. Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu "baba wa nini wewe? Wewe fuata maelekezo ninayokupa" Nimeshindwa kuelewa maana alisema baba yake...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais aunde Wizara ya kushughulikia Jiji la Dar na Dodoma pamoja na Wizara ya Umeme

    Kuna uwezekano Doto Biteko hajui ukomo wa madaraka yake kunakoelekea nchi kuingia gizani na umaskini mkubwa kuwanyemelea Watanzania kwa kumtegemea mtu mmoja. Doto anahangaika na Unaibu waziri mkuu, anasahau majukumu ya TANESCO. Ninashauri Rais aunde Wizara ya Umeme tu ambayo itahusika na...
  5. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

    Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui ni uchawi ama kiini macho sijui niseme lipi ndugu zanguni. Ila hivi sasa miezi zaidi ya 5 nimekuwa...
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuomba ushauri mitandaoni ukilinganisha na ushauri wa kuomba unayemjua ana kwa ana

    1. Wakati unasumbuka na tatizo la ndoa, kumbe robo tatu ya watoa ushauri hawajawahi kuishi na ndoa zaidi ya kudanda danda tu hapa na pale.Kwa kifupi hawajawahi saini mkataba mbele ya mashahidi na viongozi wa dini kwamba changamoto na furaha atazikabili. Mikataba alosaini ya kisela tu. Robo tatu...
  7. She Quoted you

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

    Habari wanaJf, Mwezi wa 6 mwaka Jana nilipata kazi NGO moja huko Kigoma as a purchasing officer, nikilipwa mshahara+ Bonus + madili nilikuwa naingiza average ya million 10 kwa mwezi. Pale walinipa short contract ya miezi 6 maana mradi wao upo kwenye closing phase. Mkataba wangu umeisha...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwahamishe wakazi wote eneo la mlima Hanang Manyara

    Salaam, Shalom!!! Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani. Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi. Ninaiomba...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano. Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima...
  10. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mliopo JKT wa kujitolea (WAZALENDO)

    Ndugu zangu kwanza niwapongeze sana kwa moyo wenu wa pekee wa kutamani kwa dhati kabisa kuitumikia nchi yetu richa ya JESHI LA KUJENGA TAIFA kujidhatiti dhahiri kuwa awatoi Ajira😭😭😭 Kitendo cha JKT kutoa Rai kuwa awatoi Ajira huo ni kama mchujo wa kwanza tunaita🤣🤣🤣🤣 kwa ambae hatolizika maana...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuwe na List maalumu ya wala rushwa na wapokea rushwa

    Rushwa ni tatizo kubwa sana na imefika wakati wa kuwa na daftari maalumu la wala rushwa wote na watoa rushwa wote ambao wamepelekwa mahakamani na kuthibitishwa. Hiyo list iwe ma majina na namba zao za NIDA. Lakini watoa mikopo na huduma nyingine wawe wanaweza kuangalia hiyo database kwa...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa msanii Harmonize

    Jamaaa anaimbaaaa aiseee 🙌🙌🙌🙌 Huu ni ushauri kwa Harmonize 1. Punguza Bangi 2. Kuwa na creativity upande wa collabo. Achana na wasanii wa hapahapa. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la Karne. 3. Oa 4. Hakikisha hauwasiliani na Diamond. Vimba. 5. Mwezi wa 9 mwaka huu Usisafiri. Yangu ni...
  13. data

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali juu ya matokeo haya yaliyotoka, FTNA

    Wadau wa Elimu na Wazazi. Mtokeo ya Dara's la nne na kidato Cha pili yametangazwa leo. Napenda kulipongeza Baraza La Mitihani kwani kiukweli kabisa mwaka huu yamkuja matokeo halisi sawa na watoto tunavyowafahamu huku mashuleni na mtaani. Naomba niseme hivi... Kidato Cha pili wanfunzi wengi...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri: Kama Mzee Philip Mpango unaona afya inakusumbua sumbua, 2025 Samia amchague Majaliwa kuwa mgombea mwenza

    Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu kuliko chochote. Yeye abaki na kazi ya kushauri, na pia apate muda wa kutosha kuangalia afya yake...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga vs APR, tuchezeshe kikosi B ama C?

    Niko Zanzibar kwa ajili ya robo fainali. Niliikuwa na baadhi ya viongozi wa Yanga asubuhi moja ya mambo yanawaumiza kichwa ni hawa APR tuwape kikosi B ama C? Nkasema si mbaya kupata ushauri wenu pia. Muda badoo unaruhusu weka maoni yako tuweze kuona tunawapa APR ladha ipi.
  16. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko. ====...
  17. JF Member

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa CCM ili ishinde uchaguzi 2025

    Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia. 1. Samia azidishe asali kwa wapinzani. 2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru. 3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi mgombea urais, na wabunge zaidi ya 100 wapite bila kupingwa. Ni hayo tu.
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Happy new year beautiful people. Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea. Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid). NB: Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga kuhusu usajili wa Msuva

    Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji mzuri na hatari. Hakuna haja kumtosa Skudu.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuhamia kwangu

    Wakuu wasaalam Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua...
Back
Top Bottom