Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

The River

Senior Member
Dec 27, 2015
127
83
wakuu nina mke kiburi sana,

Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.

Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?

Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
 
wakuu nina mke kiburi sana,,kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu,, yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje,, naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
FB_IMG_1704962689316.jpg
sa itakuaje
 
Mapenzi hayashauriki maana hakuna mtaalam wa mapenzi, tafuta siku ukae nae na umuulize maswali matatu tu.

1. Tatizo ni nini?
2. Kwanini anakudharau?
3. Je amechoka kuishi na wewe?

Majibu yake yatakupa muongozo uchukue hatua gani, labda naye pia ana kero zake kuhusu wewe, kama hakuna baya unalomfanyia basi atatoa jibu lingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom