ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mshauri wa masuala ya maisha nitakulipa 20k Baada ya ushauri

    Naogopa sana kukosea, au kufanya maamuzi ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuathiri maisha yangu. Kwa kugundua hilo nimeona bora nitafute mtu wa kumuomba ushauri alafu baada ya hapo niweze kufanya yale ambayo ameielekeza. Kiukweli kuna watu wamefanya makosa hivyo wanaweza kuwa waalimu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Punguzeni Ushauri Kwenye Maisha ya Watu!!

    Acheni watu waishi wanavyotaka kwani ndani yake Kuna msivyovijua.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri na Msaada Kuhusu OCD Inayonitesa Kila Siku

    Wakuu salamuni. Nimeamua kuanzisha huu uzi baada ya kuona hii hali imeanza kunipa usumbufu mkubwa kwenye maisha yangu ya kila siku. Kuna baadhi ya vitu navifanya kwa kurudia rudia sana kiasi kwamba vinanichosha na kunipotezea muda bila sababu ya msingi. Mfano nikifunga mlango, baada ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti naoa wiki hii hii sitaki nimeshindwa vumilia

    IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi. Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika. Mimi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI

    NINA DEMU WAKATI WA KUFANYA MAPENZI HUWA ANATAKA NIMTIE DOLE NYUMA, NAPATA WASIWASI ISIJEKUWA TAYARI ANATOA NYUMA?
  6. JamiiForums Tanzania Ni ushauri tu: Watoto wa kike acheni kunyonya 'mitura'?

    Hii tabia ya watoto wakike kunyonya mitura ya kiume, ikome mara moja. Hata kama ni ustadi au utundu ila sio sawa aisee, yaani unakuta limamsup linakufosi muende ile style ya 69 kumbe nia yake akupekenyue.
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanawake: Kama mwanaume hakutendei vizuri, mwingine atakutendea vizuri

    USHAURI KWA WANAWAKE • “Kama mwanaume hakutendei vizuri, mwingine atakutendea vizuri.” • “Akikusaliti, si kosa lako hata kidogo.” • Hivyo ndivyo mwanaume huonyesha upendo wake; amini zaidi matendo yake kuliko maneno yake. • Wanaume wengi si waongeaji sana kuhusu hisia; huonyesha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA RAIS SAMIA: To soften the International stance against you and your cronies, mwachie Lisu bila masharti

    Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation. Hao wanaokushauri...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa dada na kaka

    Ushauri kwa dada mahusiano ni vita mwanaume msafi yupo kwenye vitabu vya kuandikwa ukiolewa na ndoa inayumba jiongeze mwanaume mchafu ukitaka aliyetukuka mtengeneze. Ushauri kaka mahusiano sio hija wanawake wasafi wapo kwenye filamu za ukiigiza kwahiyo ndoa yako inapopindi jiongeze mwanamke...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hili la US VS. TZ - Huu ndiyo Ushauri wangu

    Nashauri katika Yale majimbo yenye ushawishi mkubwa wa Upinzani, basi wabunge wa majimbo hayo waachie ngazi kwa kujiuzulu nafasi zao za ubunge uchaguzi ufanyike na upinzani ushinde. Mfano: Jimbo la Arusha Mjini, Mbunge wa Sasa ajiuzulu halafu Uchaguzi ufanyike upya, LEMA achukue Jimbo. Basi...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wa aina ya mwili wangu.

    Mimi ni mrefu almost 6.4 ft. Miaka 27 Nina kilo 89. Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit, Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Habarini wakuu Katika Harakati za hapa na pale nimepata milion 3 nifanye biashara gani?ili niweze kupata Kwa siku faida ata 30k.
  14. JamiiForums Tanzania NAOMBENI USHAURI

    Kuna siku kazini tulikuwa na get together, basi tukatoka out Kama office to have dinner then later watu wakaextend wakaenda kwenye mziki, so what happened is my boss was there so nilishangaa tu kwenye my table vimeletwa vinywaji naambiwa ni offer kutoka kwa fulani ( my boss) nikasema okay though...
  15. JamiiForums Tanzania Tangazo la Huduma za Ushauri wa Biashara

    TANGAZO LA HUDUMA ZA USHAURI WA BIASHARA Amicable Group Holdings Limited inatoa huduma za kitaalamu za Ushauri wa Biashara (Business Consultancy) kwa watu binafsi, vikundi, kampuni, taasisi na wafanyabiashara wanaohitaji kuanzisha, kukuza au kuboresha biashara zao. Tunatoa huduma za: ✔️...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu

    Habari za asubuhi JF members. Nisiwachoche, niende moja kwa moja kwenye hoja. November mwaka jana (2025), niliomba kazi Ajira Portal kwa mara yangu ya kwanza. Kazi niliyoomba ni REGISTRATION OFFICER II - NIDA. Nilikuwa naisubiria anzia January mwaka huu hola hadi kufikia ijumaa iliyopita ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wa serikali au watu wengine wanaosapoti au kushiriki kufanya maovu chini ya hii regime haramu

    Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika. Regime mpya inayokuja nauhakika itawachukulia hatua watu wote walioshiriki kufanya maovu kama utekaji...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa TRA: Anzisheni Program ya Certified Tax Educator (CTE).

    Haya ni maoni na ushauri wangu wa Bure kwa TRA, naomba niwaahauri waweze kuanzisha program Maalum ya Certified Tax Educator (CTE), hii inatokana na Kwamba kwa sasa Watanzania wengi hawana Elimu ya kutosha kuhusiana na masuala ya kodi. Tukio halisi ni la hivi karibuni lililotokea Dar es Salaam...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu. Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma. Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kimoja kinanisumbua nahitaji ushauri

    Nina uwezo wa kupenda wanawake wengi sana hata 500 kwa pamoja, na nikishampenda mwanamke yeyote, hakuna kitachofanya niache kumpenda. Hii inaonekana nzuri lakini inaniletea tatizo moja, hata wanawake niliowahi kuwapenda nikiwa na miaka 9, licha ya kuootezana kwa muda mrefu bado nawapenda Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…