Kuna kitu kimoja kinanisumbua nahitaji ushauri

Kuna kitu kimoja kinanisumbua nahitaji ushauri

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,037
Reaction score
3,080
Nina uwezo wa kupenda wanawake wengi sana hata 500 kwa pamoja, na nikishampenda mwanamke yeyote, hakuna kitachofanya niache kumpenda.

Hii inaonekana nzuri lakini inaniletea tatizo moja, hata wanawake niliowahi kuwapenda nikiwa na miaka 9, licha ya kuootezana kwa muda mrefu bado nawapenda

Hata wanawake niliowahi kuwaona kwenye video za muziki, bado ninawakumbuka na kuwapenda.

wasichana tuliokutana nao mtandaoni kipindi cha nyuma, bado nawapenda

Wanawake niliowahi kuwaona mtaani either walikuja tu kusalimia au la, japo niliwaona mara moja bado nawapenda.

Wanawake tuliosoma nao shule ya msingi, secondary na chuo bado nawapenda.

Nikisema nawapenda simaanishi kuwatamani lakini ni kuwapenda haswa toka moyoni, hata ambao sina namba zqo nitazitafuta tu ili kuwasalimia.

Yaani nina wanawake wengi mno ambao wote nawapenda kutoka moyoni, wengine natafuta mawasiliano nao, wengine nina namba zao na siachi kueajulia hali, hata waliowahi kuwa ma ex wangu nawakumbuka na kuwapenda. hata wale nilioenda kuwanunua kwenye machimbo mbalimbali nawakumbuka na kuwapenda

Sasa kitu hiki sio kizuri na sijui namna ya kuepukana nacho ?
 
Wewe kupitia nyuzi zako sidhani kama hata una miaka 21 una act kama umebalehe juzi yaan kama ndio kwanza umenyoa zivu la kwanza 🙌😅
Tayari kimemramba…kwa comment hii

Ila nashauri bora utoto wake na mambo yake ya utoto kuliko mtu mzima na utoto wake.Au nadanganya ndugu Shesy?
 
Back
Top Bottom