Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu.
Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma.
Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua nichague kipi kwakuwa kwasasa naona soko la ajira limekuwa gumu. Sina uzoefu wowote kuhusu kozi hizi ndio maana nimekuja kuomba ushauri wenu.
Kozi ambazo ninatamani kuzisoma ni hizi:
1. Diploma in Civil Engineering.
2. Diploma in Architecture Engineering.
3. Diploma in Pharmaceutical Sciences
4. Diploma in Laboratory in Biomedical Equipment Engineering.
5. Diploma in Nursing and Midwifery