Wanabodi,
Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa pongezi kwa Kamati Kuu ya CCM kufanya maamuzi magumu. Hata kama mimi binafsi sikubaliani na maamuzi hayo, lakini kitendo tuu cha CCM kufanya maamuzi magumu, hii ni plus traits kwa chama cha Mapinduzi, just being decisive, kwasababu CCM ndio...
1. Usiwajibu kwa haraka kama ambavyo nimeanza kuona unataka Kufanya hivyo
2. Acha Mihemuko ya Kuwaambia neno Umma ambao wengi Wao ni Wanafiki watupu
3. Jitafakari huku ukikikumbuka sana kile Kiapo chako cha Fani yako Kuu ya Njiwa / Chawa
4. Kuanzia sasa usiwaamini wote wanaokuzunguka kwani hao...
Naomba ushauri nafahamu jamii forum ina wajuvi wengi. Mm nikijana miaka 30 nimejiajiri kwa kuwa na duka la nguo nimejenga na nyumba ina hati japo nipo huku wilayani.
Sasa nina shamba langu la migomba nilitaka na lenyewe nilichukulie hati ili niweze kukopa kwa kutumia hati ya nyumba kuweza...
Kwanza kabisa naipongeza sana Serikali kuhusu dhana ya Elimu Bure kuanzia elimu ya msingi mpaka Sekondari LAKINI kuna changamoto zinazotakiwa kuangaliwa kwa umaakini sana.
Kwanza fedha inayotolewa kwenye shule ni kidogo sana. Leo asubuhi nimesikia kule Shinyanga katika Shule mmojawapo wanapewa...
Kwa mahitaji ya kutaka kujua gharama halisi utakazotumia katika kukamilisha ujenzi wa jengo lako (BOQ).
Natoa huduma ya kufanya mchanganuao wa idadi halisi ya materials utakazotumia mpaka kukamilisha ujenzi.
MAHITAJI
1. Mchoro
2. Kufika site.
1. MCHORO
Mchoro utanisaidia kujua ukubwa wa...
Wanabodi,
Kwanza angalieni hii picha
More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana
Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara...
Nianze kwa kutamka kuwa mimi ni mfugaji. Ninataka nipate ndama dume ya nyati ambaye ana umri wa wiki moja ili nimlete kwenye kundi langu la ng'ombe ili aweze kukua na kunyonya maziwa ya ng'ombe wangu mpaka awe na mri mkubwa wa kuweza kujilisha kwa majani.
Nia yangu kubwa ni kuja kupata dume la...
"Asubuhi kabla ya jogoo kuwika uniamshe na kimoko" nami NAKAZIA hapo hapo,kwa afya ya akili na mwili hii kitu ya asubuhi ni muhimu sana utafiti unaonyesha 99% ya wanaopata cha asubuhi wanaamka na furaha yani wanakua fresh na akili inafanya kazi mara 100 ya mtu asiyepata asubuhi,na hawana hatari...
Kumekuwa na matukio ya kusikitisha ya kuungua kwa vibanda katika maeneo mbalimbali hapa nchini na kupelekea wamiliki kupata hasara kubwa na kuwaingiza katika umaskini mkubwa.
Binafsi nina ushauri kwa Serikali kama mamlaka na wenye vibanda husika.
(1) Serikali ihakikishe kuwa ni sharti kila...
Vijana tafuteni hela MTUNZE familia zenu, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali na kujihusisha na SIASA MAJITAKA, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!
Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono...
Wakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado ni changa sana na imeanza mwaka huu.
Tunatakiwa kujenga vyumba vya madarasa pamoja na ofisi za...
Hivi majuzi nilipoteza simu iliyokuwa na line ya mtandao fulani (sitautaja) kwakuwa ni line inayofahamika zaidi nilitembelea duka la mtandao husika ili wanisaidie kurudisha, baada ya maelekezo mafupi walinielekeza kwenda kituo cha polisi cha kati, polisi nao walinipokea na kuniuliza tarehe ya...
wakubwa,nimetafakari kuanzisha huduma ya kiroho kama ile ya mwammposa ya kuondoa matatizo ya watu kupitia ukanyagaji na upakaji wa mafuta lakini sijui nianzie wapi
Kwahiyo kwa mwenye uelewa kuhusu hizi huduma tafadhari nijulishe natakiwa nifanye nini ili na mimi huduma yangu ifanikiwe
Na labda...
Habarini na poleni na majukumu,
Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine).
Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida)...
Habari wana JF. Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya uhasibu ila unaenda mwaka wa tano sasa hajapata mchongo wowote wa kazi.
Yeye binafsi anahisi huko kijijini kwao Tanga huenda machizi wakawa wamemroga hasitoboe.
Binafsi nilifikiria nimshauri aende kwa mganga akasafishe nyota ila jamaa...
habarini za wakati huu.
Ushauri wangu kwa rais ni kumpa mbinu ambazo atazitumia kutatua changamoto za kifedha kama world bank(WB) watasitisha kutupa mkopo wa $500million tuliokuwa tunatarajia kuupata ili tukatatue changamoto katika sekta ya elimu nchini.
"japo kuna wanyapiaji nyuma ya pazia...
Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, napenda kuutumia muda huu kuwaomba na kuwashauri wanaume wenzangu kuwa, ikitokea umempa binti/msichana mimba katu usiikatae lea mimba kisha lea mtoto hata kama hautaki kumuoa huyo mwanamke. Single mothers wanateseka sana jamani; kulea mimba na pia kulea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.