Mara ya mwisho nilifanya hivi ilikua mwaka jana na wengi niliwasaidia bure tu, lakini hawakushukuru au wengine kuleta mrejesho.
Naam wakili nipo likizo toka hapa kijijini nilipo so naimani naweza kutoa msaada walau ata robo tu tokana na maarifa machache ya sheria niliyo bahatika kuya soma.
Pro...
Wapendwa, nimechoka na kero za kukatika umeme kila mara. Nimeamua kutafuta generator japo napo ninatafuta makelele ya mngurumo wake.
Je, nitapata wapi generator nzuri kwa kijihela changu cha laki 4? Yaani 400,000/=.
Vitu vyangu ni vya kawaida: fridge 2, taa kama 13 hivi, microwave, tv set...
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam akisema, mpango wa kukiua chama hicho iliyopangwa imeshindikana na zaidi imekiimarisha zaidi chama hicho.
Lissu amesema...
Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture
Na hiki cha chini ni cha 2019
Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu
Nawasilisha.
Wakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi.
Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na...
Kwa huruma kubwa sana naiomba TFF kuizuia timu ya Yanga kusajili wachezaji wapya ili kuipunguzia mzigo wa madeni , iendelee na wachezaji ilionao ili iweze kupunguza madeni.
Nawaasa wachezaji wa ndani na nje ya nchi waepuke kuhadaika na Yanga , hii timu haina hela wala haina mipango yoyote ya...
Huyu mh. Waziri kijana, mh Bashungwa waziri wa viwanda na biashara naona katoa mpya.
Ati mkandarasi na wazabuni wanatakiwa wakope benki, husussn CRDB , ili watekeleze miradi ya serikali.
Huu ni msimamo hasi katika utekekezsji miradi.
Contractor siyo financier wa miradi ya serikali.
Haiingii...
Wakuu binafsi nafanya mazoezi mengi sana, lakini sijui faida zake nafanya tu kwa kuwa mwili unachangamka na muda mwingi nakuwa mtu mwenye furaha tofauti na kipindi ninachoacha mazoezi. Faida nyingine ninayoiona ni kumbukumbu,
kipindi ninachofanya mazoezi ninakuwa na uwezo mzuri sana wa kuhifadhi...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano.
Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru!
Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China)
Kwanza Kabisa Alibaba sio platform peke yake ya kuweza kununua vitu nchini China kuna platforms kama Global sources...
Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo.
Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa hili jambo na sijui nifanye nini ili maisha yaendelee.
Its like chuo was my only stand and now it has...
Habari zenu
Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa kidogo ya kula bata. Je, mpango wangu unafaa?
Naomba ushauri wadau
NB: Nimechagua hizo gari kwa...
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Ningependa kutoa ushauri kwa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)na vyuo husika kutokana na zoezi la udahili wa wanafunzi lilivyokuwa likiendelea wakati zoezi likiendelea.
Baadhi hawakuchaguliwa round ya kwanza ya pili na ya tatu pasipo kuelezwa sababu ya...
Ni weekend nyingine wakuu natumaini mu-wazima wa afya.
Kuanzia 2015 mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wadahiliwa kukosa vyuo au kozi ya ndoto yake ingawa kuwa ufaulu wake unajitosheleza kujiunga na kozi husika sababu kuu za kukosa zinaweza kuwa:
1. Ushindani mkubwa kwa kozi husika
2...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Habari wanaJf?
Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Wakuu, nina tatizo la mwili kuwasha baada ya kumaliza kuoga tu. Hili tatizo lilijitokeza kama miaka mitatu iliyopita likatoweka lenyewe, sasa naona limerudi tena.
Je, nini chanzo cha hii hali, ni maji ninayoogea?
Ni sabauni ninazo tumia? Sina...
Wakuu,
Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi.
Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo:
1. Aina za mihogo na maeneo inakostawi vizuri
2. Misimu ambayo mihogo inapandwa ni miezi ipi...
Wanajamii,
Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato.
===============
Habari JF Doctor na wana jamii wote.
Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake.
Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII
Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari.
Stability zake, upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.