ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri unaponunua vitu kutoka China ( Alibaba)

    Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru! Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China) Kwanza Kabisa Alibaba sio platform peke yake ya kuweza kununua vitu nchini China kuna platforms kama Global sources...
  2. mills93

    JamiiForums Tanzania Nimefeli chuo, naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo. Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa hili jambo na sijui nifanye nini ili maisha yaendelee. Its like chuo was my only stand and now it has...
  3. nyakandula

    JamiiForums Tanzania Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

    Habari zenu Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa kidogo ya kula bata. Je, mpango wangu unafaa? Naomba ushauri wadau NB: Nimechagua hizo gari kwa...
  4. Intended

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TCU wawe wanatoa sababu za mtu kutochaguliwa

    Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ningependa kutoa ushauri kwa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)na vyuo husika kutokana na zoezi la udahili wa wanafunzi lilivyokuwa likiendelea wakati zoezi likiendelea. Baadhi hawakuchaguliwa round ya kwanza ya pili na ya tatu pasipo kuelezwa sababu ya...
  5. Agresive

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TCU na Wizara ya Elimu

    Ni weekend nyingine wakuu natumaini mu-wazima wa afya. Kuanzia 2015 mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wadahiliwa kukosa vyuo au kozi ya ndoto yake ingawa kuwa ufaulu wake unajitosheleza kujiunga na kozi husika sababu kuu za kukosa zinaweza kuwa: 1. Ushindani mkubwa kwa kozi husika 2...
  6. Foxhound

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Habari wanaJf? Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa...
  7. Shinto

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Wakuu, nina tatizo la mwili kuwasha baada ya kumaliza kuoga tu. Hili tatizo lilijitokeza kama miaka mitatu iliyopita likatoweka lenyewe, sasa naona limerudi tena. Je, nini chanzo cha hii hali, ni maji ninayoogea? Ni sabauni ninazo tumia? Sina...
  8. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Wakuu, Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi. Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo: 1. Aina za mihogo na maeneo inakostawi vizuri 2. Misimu ambayo mihogo inapandwa ni miezi ipi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato. ===============
  10. Chimunguru

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake. Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
  11. Akili Unazo!

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari. Stability zake, upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Mambo vipi wakuu, Nimeamua kujikita kwenye biashara ya daladala na bado nipo kwenye hatua ya utafiti. Nimepitia threads nyiiingi sana humu na watu wengi wanaoipiga vita hii biashara wanakuwa na hoja za "Biashara pasua kichwa", "Madereva watakunyonga" n.k bila kuelezea kiundani changamoto...
Back
Top Bottom