ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

    Habarini! Niende kwenye mada. Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2. Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu niliyezaa naye tumezinguana. Roho inaniuma naombeni ushauri wenu

    Member wote wa JF kwangu ni kama sehemu ya familia. Humu unaweza kupata ushauri mzuri sana ambao unaweza kubadirisha maisha yako ina a positive way. Ndugu zangu kwa huo utangulizi naombeni ushauri wenu kuhusu haya mahusiano yangu. Siku ya Xmass nilileta uzi humu kuhusu wife kunikamata red...
  3. Jakamoyo msoga

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Diamomd: Jitahidi uanzishe redio na Tv yako kabisa ili mzee huyo akikuchoka usipatwe na msongo wa mawazo

    Kuwa mjanja mdogo wangu. Utatumiwa sana kwakuwa ni maarufu uendeshe faida kwenye kituo cha watu halafu akipata mbinu nyingine anaku-dump. Kuwa makini Diamond.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Simba isijaribu kuidharau Yanga , kuna wakati Marehemu hupiga chafya

    Hili ni angalizo ninalolitoa kwa Timu yangu ya Simba , Tusithubutu kudharau yanga kwa sababu ya dhiki waliyonayo , tutaumia ! Inapofika siku ya mazishi Masikini wanakuwa na umoja wa ajabu sana ! Hebu angalia Buguruni kwa Mnyamani au Temeke Mikoroshini jinsi masikini wanavyozikana ...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya kuuza mabegi

    Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:- - Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanayanga Tarehe 4 tusiende Uwanja wa Taifa tutaondoka na aibu ushauri tu, wajanja tukutane Azam

    Hali si nzuri najua wengi hawatanielewa Yanga ina hali ngumu nakwambia wachezaji wengi awachezi kwa moyo awajalipwa hela zao Mbaya zaidi majuzi GSM wameomba kulipa malimbikizo ya wachezaji uongozi ukalazimisha hizo hela zipelwkqw kwenye acc yao wao wataamua nn cha kulipia Ile ilikuwa na saini...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Dkt. Mashinji hamia CCM

    Ukatibu mkuu wa chama ni nafasi nyeti na ya juu sana katika uongozi wa chama, kwa nafasi hiyo, katibu mkuu huzifahamu siri nyingi na nyeti za chama, mwenyekiti pamoja na viongozi wengine. Kuenguliwa kwenye uongozi katika chama katika umri ambao bado una nguvu, nia na uwezo wa kuendelea...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwako Rais Magufuli

    Tangu uingie madarakani kumekuwa na hii teka teka ya watu ambayo imezua taharuki!! Wewe kama kiongozi unapaswa kuweka sawa na kutufahamisha kuwa hawa watekaji au wahuni ni kina nani na wana malengo gani hasa, kwani kukaa kwako kimya ni kuhalalisha utekaji na kuonyesha hautujali sisi wananchi...
  9. Paddy

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye diesel pumps za kuvuta maji naombeni ushauri wenu

    Habari za leo wanaJF! Ninahitaji diesel pump ya maji yenye uwezo mkubwa wa kutoa maji kutoka mita 200 kwenye bwawa na kuyaleta kwenye tank lililopo mita nne juu (limejengewa mnara wake). Naombeni ushauri wa aina ya pump na horsepower (HP) zake.
  10. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    Mara ya mwisho nilifanya hivi ilikua mwaka jana na wengi niliwasaidia bure tu, lakini hawakushukuru au wengine kuleta mrejesho. Naam wakili nipo likizo toka hapa kijijini nilipo so naimani naweza kutoa msaada walau ata robo tu tokana na maarifa machache ya sheria niliyo bahatika kuya soma. Pro...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

    Wapendwa, nimechoka na kero za kukatika umeme kila mara. Nimeamua kutafuta generator japo napo ninatafuta makelele ya mngurumo wake. Je, nitapata wapi generator nzuri kwa kijihela changu cha laki 4? Yaani 400,000/=. Vitu vyangu ni vya kawaida: fridge 2, taa kama 13 hivi, microwave, tv set...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Tundu Lissu ahutubia mkutano mkuu wa CHADEMA, ataka asaidiwe arudi nyumbani, kashapona

    Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam akisema, mpango wa kukiua chama hicho iliyopangwa imeshindikana na zaidi imekiimarisha zaidi chama hicho. Lissu amesema...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya naomba mnisaidie kujajili vipimo hivyo hapo na ushauri pia

    Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture Na hiki cha chini ni cha 2019 Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu Nawasilisha.
  14. Jr. Gong Mira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuoa mwanamke ambaye simpendi

    Wakuu habari za Weekend. Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu, ila sababu ya yeye ana tabia zote nzuri, lakini mimi tu sijavutiwa sana kwa upande wa sura tu basi. Na kwa upande wake ananipenda zaidi ya sana na...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Yanga izuiwe kusajili , haina hela za kulipa mishahara

    Kwa huruma kubwa sana naiomba TFF kuizuia timu ya Yanga kusajili wachezaji wapya ili kuipunguzia mzigo wa madeni , iendelee na wachezaji ilionao ili iweze kupunguza madeni. Nawaasa wachezaji wa ndani na nje ya nchi waepuke kuhadaika na Yanga , hii timu haina hela wala haina mipango yoyote ya...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa ushauri wako kwa Wakandarasi hauna mashiko

    Huyu mh. Waziri kijana, mh Bashungwa waziri wa viwanda na biashara naona katoa mpya. Ati mkandarasi na wazabuni wanatakiwa wakope benki, husussn CRDB , ili watekeleze miradi ya serikali. Huu ni msimamo hasi katika utekekezsji miradi. Contractor siyo financier wa miradi ya serikali. Haiingii...
  17. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Wapenda mazoezi ya viungo tukutane hapa kwa maoni, ushauri, aina za mazoezi, faida zake n.k

    Wakuu binafsi nafanya mazoezi mengi sana, lakini sijui faida zake nafanya tu kwa kuwa mwili unachangamka na muda mwingi nakuwa mtu mwenye furaha tofauti na kipindi ninachoacha mazoezi. Faida nyingine ninayoiona ni kumbukumbu, kipindi ninachofanya mazoezi ninakuwa na uwezo mzuri sana wa kuhifadhi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri unaponunua vitu kutoka China ( Alibaba)

    Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru! Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China) Kwanza Kabisa Alibaba sio platform peke yake ya kuweza kununua vitu nchini China kuna platforms kama Global sources...
  20. mills93

    JamiiForums Tanzania Nimefeli chuo, naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo. Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa hili jambo na sijui nifanye nini ili maisha yaendelee. Its like chuo was my only stand and now it has...
Back
Top Bottom