Ushauri wangu kwa wanaume wenzangu

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,531
1,733
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, napenda kuutumia muda huu kuwaomba na kuwashauri wanaume wenzangu kuwa, ikitokea umempa binti/msichana mimba katu usiikatae lea mimba kisha lea mtoto hata kama hautaki kumuoa huyo mwanamke. Single mothers wanateseka sana jamani; kulea mimba na pia kulea mtoto.

Kama kuna ambaye amewahi tekeleza mtoto please fanya hima umchukue kisha umuombe msamaha mtoto pamoja na mama yake kisha wape support na Mungu wetu aliye juu atakubariki.

Nimeandika haya leo baada ya kufuatilia visa kadhaa vya single mothers hakika roho wa huruma alinitembelea, huku machozi ya uchungu yakinilenga. Nilitamani kuwa na uwezo wa kuwasaidia ili nao waweze kuendesha maisha yao but nimeshindwa ila naamini kuna ka msaada hata wa faraja kutoka kwangu wameupata.
 
Mkuu, mbona huu mwandiko ni wa kike? Kutokana na maelezo yako ni kwamba wanaume wana mimba na mimba zao wanawapa wanawake? huwezi kumpa mtu kitu ambacho wewe hauna. Mimi nafikiri hatuwapi mimba ila tunarutubisha mayai yao alafu mimba inatokea.
 
Mkuu, mbona huu mwandiko ni wa kike? Kutokana na maelezo yako ni kwamba wanaume wana mimba na mimba zao wanawapa wanawake? huwezi kumpa mtu kitu ambacho wewe hauna. Mimi nafikiri hatuwapi mimba ila tunarutubisha mayai yao alafu mimba inatokea.
Wakike kama ww shubamit
 
Mkuu nahisi kama unatafsiri vibaya suala la kukabidhiwa mimba, mademu wanasumbua sana huenda hujawahi kuwa na hao wenye watoto. Baadhi yao pasua kichwa, unakuta mwanamke unadate naye ila anamidumme karibu minne alfu alfu wewe ndio upewe huo ujauzito!! ?? .
Mie siwezi kataa kulea ujauzito kama yeye niliyemsababishia ujauzito anajiheshimu na pia sio myu mwenye makelele. Mie mwanamke mwenye makelele kulea huyo mtoto atalea peke yake labda anipe nikae naye tofauti na hapo tutafikishana ustawi wa jamii na hata mahakamani.
Mie siamini kama kuna mwanaume atakataa ujauzito ambao anajua wazi yeye ndio aliyeusababisha ila kama kuna ugonganishaji wa magari kiukweli mie sikubali.


Happy dude
 
Awe single mother afu msomi utajutraaaaa, maana stress zake siyo za nchi hii. My Aunt ni mfano tosha kwangu
 
Back
Top Bottom