Ushauri wangu kwa Rais Magufuli na Serikali yake kwa ujumla

Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
8,261
24,238
habarini za wakati huu.

Ushauri wangu kwa rais ni kumpa mbinu ambazo atazitumia kutatua changamoto za kifedha kama world bank(WB) watasitisha kutupa mkopo wa $500million tuliokuwa tunatarajia kuupata ili tukatatue changamoto katika sekta ya elimu nchini.
"japo kuna wanyapiaji nyuma ya pazia wanadai eti zilikuwa kwa ajili ya uchaguzi. mimi siamini ktk hili(japo tayari nimeshaliandika)"

USHAURI WANGU NI HUU(MBINU).

*MISHAHARA: hapa hakuna kuwalipa watumishi wote wa uma mishahara/posho kwa muda wa miezi mitatu.

*BANK:hapa anaongea na gavana mkuu wanafanya michongo ya kuwaibia watz wote wanaohifadhi pesa bank kisirisiri. napendekeza atuibie buku buku(sh.1000) "hawatajua wataona ni makato ya kawaida tena tulio wengi tutadharau, buku kwani nn banaa."

*KAMPUNI ZA SIMU:hapa tunafanya kama hapo kwenye bank, unawaibia wote wanaotumia simu kuhifadhi fedha. "hapa unawaibia jero jero(sh. 500)

*TRAFFIK KESI:hapa ni kuweka matrafiki kila barabara wa kutosha mnawapiga faini za ajabu ajabu kwa muda wa miezi mitatu.

*KUBAMBIKIA WATU KESI:hapa mapolisi wanawabambikia watu kesi za hovyo hovyo tu. kama mtu hana hatia anapewa hata kesi ya uzurulaji pesa mnapatia kwenye dhamana. dhamana kwa kila mmoja iwe sh.90000.

Na hakika akitumia mbinu hii kwa muda wa miezi mitatu tu, tutakuwa tumejipatia kiasi kikubwa sana cha fedha.

NB: Ni ushauri tu anaweza akauchukua au akauacha.

ni mimi Kitombise(hahaa).
 
mkuu utakuwa unajiibia tu mwenyewe, shida si tirioni moja ya madafu shida ni USD 500milioni.... hapo kwenye USD ndo tatizo lilipo...
 
Mkuu hizo mbinu zote apo xishatumika na bado mahitsji ya pesa yako juu mno kuliko ilivyodhaniwa.

Kwa majigambo yale ya " nchi hii ni tajir" leo Wala tusingeoshobokea hiyo pesa kiiivo Ila sasa no way out.

Chukulia Mfano kwenye sim tu, kifurush cha wiki ilikuwa 1500 tigo Ila Kwa sasa ingia menyu ya tigo kifurush cha wiki ni 3000. Jiulize serikal imekula bei gan apo?

Sio apo tu yan kila kona mpak kwenye vifaa vya ujenz cement ilikuwa10500/= saiv Ni 14500 kwa mikoa ya pwan iliyokarib na viwanda asa sipat picha mikoa ya mbali.

Ukienda kwenye bati ndo balaa kabisa yan kila kitu mpaka shida

Hata kutokuongeza Mishahara na kubana ajira Ni njia pia ya kubana na kujikusanyia pesa Ila zote hazikufua dafu ngoma nzito.

Yote haya yamesababushw na Kuanzisha mirad mikubwa Sana ambayo yote inahitaj pesa ya kutosh.

bongo bwana ndo nchi pekee tunashangiliaga upuuzi unao tupuuza na kutuumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono.
 
Mtoa mada unabidi nikukague tezi dume maana inaonesha limeanza kutafuna sehemu kubwa ya ubongo wako.
kwa hiyo wewe unampa rais ushauri gani?
au nyie ndo wale mmebakia kulalamika alafu hamleti solution
 
Mkuu hizo mbinu zote apo xishatumika na bado mahitsji ya pesa yako juu mno kuliko ilivyodhaniwa.

Kwa majigambo yale ya " nchi hii ni tajir" leo Wala tusingeoshobokea hiyo pesa kiiivo Ila sasa no way out.

Chukulia Mfano kwenye sim tu, kifurush cha wiki ilikuwa 1500 tigo Ila Kwa sasa ingia menyu ya tigo kifurush cha wiki ni 3000. Jiulize serikal imekula bei gan apo?

Sio apo tu yan kila kona mpak kwenye vifaa vya ujenz cement ilikuwa10500/= saiv Ni 14500 kwa mikoa ya pwan iliyokarib na viwanda asa sipat picha mikoa ya mbali.

Ukienda kwenye bati ndo balaa kabisa yan kila kitu mpaka shida

Hata kutokuongeza Mishahara na kubana ajira Ni njia pia ya kubana na kujikusanyia pesa Ila zote hazikufua dafu ngoma nzito.

Yote haya yamesababushw na Kuanzisha mirad mikubwa Sana ambayo yote inahitaj pesa ya kutosh.

bongo bwana ndo nchi pekee tunashangiliaga upuuzi unao tupuuza na kutuumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo sasa wameishiwa mbinu za kutuibia wameona kukopa ndo suluhisho
 
leo ndio nauamini ule msemo wa hitler___UKWELI UNAPANDA NGAZI UONGO UNAPANDA LIFT

lakini siku ukweli ukifika kwenye kilele uongo hujitenga....

si-tuliambiwa kuwa tunafanya maendeleo kwa pesa za ndani na mabeberu wasitutishe

ama kweli tupo kwenye right track
 
Back
Top Bottom