Pata ushauri kuhusu gharama halisi za ujenzi kulingana na mchoro wako, location ya site na landscape ya kiwanja

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
3,954
2,439
Kwa mahitaji ya kutaka kujua gharama halisi utakazotumia katika kukamilisha ujenzi wa jengo lako (BOQ).

Natoa huduma ya kufanya mchanganuao wa idadi halisi ya materials utakazotumia mpaka kukamilisha ujenzi.

MAHITAJI
1. Mchoro
2. Kufika site.

1. MCHORO
Mchoro utanisaidia kujua ukubwa wa Nyumba na design ya Nyumba .
Nikiona Mchoro nitakupa actual estimate ya vifaa utakavyo tumia mpaka kukamilika kwa jengo. Hii itakusaidia sana kukuepusha kuibiwa na mafundi au msimizi wa kazi zako.

2. KUFIKA SITE
Kutanisaidia kujua aina ya Udongo na ukubwa wa slope wa kiwanja chako. Nikisha jua hayo ni takushauri juu ya namna gani ujenzi ufanyike.

Gharama.

Site visiting tshs 20000 kwa dar es salaam.

Cost estimate tshs 50,000.

PIA TUNAJENGA NA KUFANYA FINISHING KWA WATAKAOTAKA HUDUMA ZETU.
Tupo DSM

0655 173113
Whatsup 0655173113
Instagram FUNDI MAHIRI WA UJENZI
 
IMG_20221019_195805_522.jpg
 
Tupo pamoja mkuu, lakini Kama mteja anauhitaji wa kuifunga mifumo ya ulinzi na usalama Kama CCTV CAMERA, UZIO WA UMEME, MIFUMO YA MOTO, tunaweza kuwasiliana kiongizi 0762490811
 
Back
Top Bottom