Ushauri kuhusu kilimo cha matunda, miti na viungo pamoja na uuzaji wa miche yake

Sep 25, 2018
27
45
Habari wanajamvi,

Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi. Kabla hatutajatangaza bidhaa tutoe nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kilimo cha matunda, miti na viungo.

Miche iliyopo ni kama ifuatayo:
20200122_182944.jpg
20200125_110055.jpg

1. Miembe aina 9 tofauti kuna Kent, Keitt, Tommy Atkins, Apple, Alfonso, Palma, Red Indian na Dodo.
2. Miparachichi aina ya Hass na ya kienyeji iitwayo uwezo
3. Michungwa aina ya valensia,matombo na msasa.
4. Ndimu zisizo na mbegu.
5. Limao zisizo na mbegu.
7. Chenza
8. Mikorosho
9. Almonds
10. Passion za zambarau na njano
11. Topetope
12. Stafeli
13. Komamanga
14. Migomba ya kienyeji na kisasa
15. Minazi ya kienyeji
16. Papai
17. Mipera ya njano na nyekundu za muda mfupi
18. Strawberry

MICHE YA MBAO
19. Misederea
20. Mitiki
21. Mikaratusi
21. Mikangazi
22. Mikongo

VIUNGO
23. Mikarafuu
24. Midalasini
25. Hiliki

TIBA
26. Milonge
27. Mikwaju

KWA MAWASILIANO PIGA/SMS/WHATSUP 0714600575 AU PIGA 0620598113. TUPO SUA MAIN CAMPUS MOROGORO PAROKIA YA MTAKATIFU MARIA CONSOLATA.MICHE INATUMWA MIKOANI.
 
batadume

Senior Member
Mar 4, 2011
102
195
Habari wanajamvi,

Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi. Kabla hatutajatangaza bidhaa tutoe nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kilimo cha matunda, miti na viungo.

Miche iliyopo ni kama ifuatayo: View attachment 1418496 View attachment 1418498

Mimi nipo Iringa inaweza Fika,inafikaje namalipo yanafanyikaje maana nisije nikatoa mlio hiyo miche niihitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msweet

JF-Expert Member
Mar 26, 2014
2,005
2,000
Habari wanajamvi,

Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi. Kabla hatutajatangaza bidhaa tutoe nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kilimo cha matunda, miti na viungo.

Miche iliyopo ni kama ifuatayo: View attachment 1418496 View attachment 1418498

1. Miembe aina 9 tofauti kuna Kent, Keitt, Tommy Atkins, Apple, Alfonso, Palma, Red Indian na Dodo.
2. Miparachichi aina ya Hass na ya kienyeji iitwayo uwezo
3. Michungwa aina ya valensia,matombo na msasa.
4. Ndimu zisizo na mbegu.
5. Limao zisizo na mbegu.
7. Chenza
8. Mikorosho
9. Almonds
10. Passion za zambarau na njano
11. Topetope
12. Stafeli
13. Komamanga
14. Migomba ya kienyeji na kisasa
15. Minazi ya kienyeji
16. Papai
17. Mipera ya njano na nyekundu za muda mfupi
18. Strawberry

MICHE YA MBAO
19. Misederea
20. Mitiki
21. Mikaratusi
21. Mikangazi
22. Mikongo

VIUNGO
23. Mikarafuu
24. Midalasini
25. Hiliki

TIBA
26. Milonge
27. Mikwaju

KWA MAWASILIANO PIGA/SMS/WHATSUP 0714600575 AU PIGA 0620598113. TUPO SUA MAIN CAMPUS MOROGORO PAROKIA YA MTAKATIFU MARIA CONSOLATA.MICHE INATUMWA MIKOANI.
Naomba ushauri wako Kaka. Nimepanda miti ya mapera na mipapai Bahati mbaya eneo lina mchwa Sana. Nini mbadala wa kupulizia zile dawa sumu za wadudu za madukani??? Nimeambiwa nikimwagia majivu karibu na mizizi Itasaidia.

Naomba ushauri wako wa kitaalamu. Natamani nisitumie zile sumu za wadudu za madukani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom