Serikali yangu uchukue ushauri huu, ambao tayari upo

Serikali yangu uchukue ushauri huu, ambao tayari upo

Yoranda

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
341
Reaction score
339
Kwa heshima kuu Nci yangu ni ya watu waelewa, viongozi watukufu. Mh Raisi na mamlaka yake achuur ushauri huu kuinua ari, hadhi na afya

Ujenzi wa nyumba kwa utaratibu wa aina ya nyumba na hata mapambo yanayowekwa na wananchi. Ikumbukwe hii sio biashara ni Nchi na hadhi ya watu na afya zao

Kwa mfano nchi inapoweka sheria za ualazima wa kujenga aina ya nyumba kwa mfano vijijini iwe lazima iwe ya tofali la kuchoma na lazima ajee cement(saruji)hapa nalenga uimara,

marufuku ya ujenzi eneo lisilofaa(mabondeni, karibu na barabara nk. na barabara zielewekezwe ni zipi mitaani au za kitaifa. wapi iweje, naona haya mambo yapo kimya sana.

Jambo lingine ni tangi, bila kujali siasa za mipira nchi iwe a rangi inayopendeza, unakuta nyumba imepakwa rangi yaani hazifai kabisa, ni muhimu kuwa na fomula sio kufanya holelaholela

nasisitiza ujenzi wa nyumba ni bora raia ajnge vyumba viwili anavyomudu azingatie sheria

asante

Hizi ni picha nyumba nch mbalimbali
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    25.9 KB · Views: 9
  • images.jpeg
    images.jpeg
    16.7 KB · Views: 8
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    53.4 KB · Views: 10
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    44.9 KB · Views: 9
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    33.6 KB · Views: 8
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    38.2 KB · Views: 10
Umeandika ukiwa una haraka sana! Nini tatizo!! Haya tumekusikia. Sisi kama serikali yako tukufu tutaufuata huu ushauri wako mara moja.
 
Umeandika ukiwa una haraka sana! Nini tatizo!! Haya tumekusikia. Sisi kama serikali yako tukufu tutaufuata huu ushauri wako mara moja.
Mvimbamacho tu wewe. Kaa kimya

Kaje mahumbu
 
Kwa hio mkuu na rangi pia unataka serikali itupangie?
Tukiambiwa nyumba zote nchini zipakwe rangi ya kijani na njano wewe utakubali?
 
Uzi wakonumeuaribu kwa kuwaita viongozi wako eti watukufu.Mtukufu ni mmoja tu alieumba mbingu na ardhi na akaumba viumbe vyote vilivyopo aridhini na angani.Nae huyo ni Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio mkuu na rangi pia unataka serikali itupangie?
Tukiambiwa nyumba zote nchini zipakwe rangi ya kijani na njano wewe utakubali?
Yes sio lazima iwe rangi moja, sionunakuta nyumba ina rangi yaani hata kinyonga ana nafuu, yaani balaa. Mkuu nchi nyingine zina sheria hii ninnzur sana, kuna rangi pendwa, za kupaka kwenye madirisha,milango na kwenye kuta zinapendeza tu vzr
 
Back
Top Bottom