Sufian Jr
Member
- Aug 9, 2014
- 17
- 25
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mi ni kijana wa Kitanzania nadhamira yangu kubwa ni kutaka kuthubutu kwenda nchi za ng'ambo kutafuta ridhiki. Nimebahatika kupata diploma in water supply and sanitation engineering pia baada ya msoto mrefu nikasomea Mambo ya kuendesha mitambo ijulikanayo kama forklift.
Hivyo kama kuna mwana JamiiForums ana ushauri juu ya hili na nchi gani naweza kwenda kuanzia tupeane ushauri.
NB: Napokea ushauri wowote na usisite kunipa onyo kwa kitu kinachomatter napokea + na -
Hivyo kama kuna mwana JamiiForums ana ushauri juu ya hili na nchi gani naweza kwenda kuanzia tupeane ushauri.
NB: Napokea ushauri wowote na usisite kunipa onyo kwa kitu kinachomatter napokea + na -