Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Wanaume tunapitia changamoto nyingi sana, hii Dunia iko very harsh and unfriendly kwa mwanaume and this is how it was created to be. Alternative na mwanaume kuishi, kula, kunywa, kupata raha nyingine zote za Dunia bila kuparangana, kuhatarisha maisha na kadhalika ni next to impossible labda uamue kugawa utumbo mpana na hili pia sio sustainable.

Dunia hii kwa mwanaume chochote utakachokitaka ni lazima ukilipie na ili ulipe ni lazima ufanye kazi, cha bure ni hewa tu.

Pamoja na hustle zote lakini mwanaume kama uko sexually active hakikisha haipiti wiki hujasafisha factory (korodani) ambayo ndio inazalisha manii, hizo vitu need to be produced and discharged frequently, kwenye industrial production inaitwa just in time, you hold very little amount of stock, madaktari wanasema at least mara 21 kwa mwezi.

Ni aibu mwanaume kusema hupendi ngono, sasa hupendi ngono ulipewa uume wa nini, hicho kitu hukupewa kama maonyesho, ulipewa upigie kazi, aliekupa aliona hii kitu ukipewa wewe utaitendea haki, ndio maana ukapewa. Unakuta mwanaume unapenda pombe kuliko ngono, unajiuliza huyu ni mzima kweli? kwani ulizaliwa kulewa? Hii ni aibu.

Aibu ya pili ni mwanaume kua na mwanamke mmoja, hii ni aibu kubwa na ni ulemavu wa kufikiri, it is a common sense wanawake ni wengi kuliko wanaume na wanazaliwa wengi kuliko wanaume, sasa wanazaliwa wengi halafu unang'ang'ania mwanamke mmoja unataka wengine wafanyeje, wafe na utamu wao?. Ni aibu mwanaume kung'ang'ania mwanamke mmoja na ni against common sense and nature.

Nawakumbusha tu njia pekee ya kansa inayoua wanaume wengi sana ya tezi dume ni kuhakikisha factory iko emptied mara kwa mara kama sio mara zote.

Ahsante.
 
Mkuu ulianza vizuri sana mada yako huko juu, bahati mbaya umemalizia vibaya kwa kuandika mambo ya hovyo, but any way umesomeka.
 
Mkuu ulianza vizuri sana mada yako huko juu, bahati mbaya umemalizia vibaya kwa kuandika mambo ya hovyo, but any way umesomeka.
Mkuu ya hovyo hayo ni yapi?

Hakuna kitu cha hovyo hapo labda uwezo wako wa uelewa ndio una mushkeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom