Wakuu habari za asubuhi?
Amaan naombeni ushauri,wiki iliyopita nilifanya kosa nikaachwa na mpenzi wangu,nimemuomba msahama amegoma katakata kwamba hatuwezi kuendelea kuwa wapenzi tena, juzi tulikutana sehemu nikaomba mechi nikapewa,
Jana pia nilimuomba akanipa lakini bado kasimamia msimamo...