Ushauri: Mambo gani natakiwa kuzingatia?

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
2,508
2,000
Habari za asubuhi wana jamii forums

Kijana wenu niko hapa nahitaji ushauri wenu na experience yenu katika hili linisumbualo akili kwa sasa

Kwa kifupi ni kua mimi ni aina ile ya watu ambao tunaweza kutengeneza marafiki wengi kwa muda mfupi na kibaya zaidi nimelia uswazi

Hii tabia ya kutengeneza marafiki wengi kwa muda mfupi imenisaidia yaani hata nikienda sehemu yeyote ile na survive na sipati shida yeyote kutokana na life style yangu na jinsi nlivoumbwa

Asa imefikia hatua nmekua na marafiki wengi sana ikumbukwe kuna uzi humu nilishawai kuweka unahusu kuwakutanisha wale waloondoka sehemu walizokulia na kwenda kuanza maisha sehemu nyingine sababu kubwa ya kuondoka kule ni hii ya kua na marafiki wengi asa hii geuka na huku nlikoamia sasa nmekua nna marafiki wengi sana ambao mwanzo ndo walikua connection yangu kwa huku but for now i don't need them

Nahitaj kubadilishana life style, nahitaji kupunguza ikiwezekana kuwaondoa marafiki wote bila kumkwaza yeyote

Kwahiyo naomba kujua mambo ya kuzingatia wakati naanza life style mpya na mbinu nyepesi ya kupunguza marafiki bila kugombana nao

Vilevi vyangu ni mpira wa miguu, pool table,music na sometimes napenda kucheki movies,,, sinywi pombe,sigara,bangi,wala ugolo na katika hao marafiki zangu hakuna ambae tunashare kilevi nje ya music na movies na hakuna ambae hatumii ivyo vilevi vya chine they both using it

samahani kwa uzi mrefu nisiwachoshe sana maswali mengine ntayajibu kwene thread najua kuna wale wataoliza nakuaje na marafiki wanaotumia vilevi ilihali me situmii majibu yapo

Niwatakie asubuhi njema yenye Baraka tele Mungu awaongoze kwa kila mfanyalo iwe kwa miko no yenu ama kwa akili zenu
 

wise boi

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
328
1,000
Kwani marafiki wanakuzuia kitu gani?
Ukiwa busy na ratiba zako asubuhi mpaka jioni wao wana affect vipi?
Au marafiki zako wanataka mkutane kila muda?
Au marafiki zako wanakuomba msaada kila saa?
Marafiki zako wanakuizuia nini kufanikisha ndoto zako?

Me naona uwe busy na mambo yako na kama huna muda wa kukutana nao au huna uwezo wa kuwasaidia jifinze kusema HAPANA.
 

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
2,508
2,000
Kwani marafiki wanakuzuia kitu gani?
Ukiwa busy na ratiba zako asubuhi mpaka jioni wao wana affect vipi?
Au marafiki zako wanataka mkutane kila muda?
Au marafiki zako wanakuomba msaada kila saa?
Marafiki zako wanakuizuia nini kufanikisha ndoto zako?

Me naona uwe busy na mambo yako na kama huna muda wa kukutana nao au huna uwezo wa kuwasaidia jifinze kusema HAPANA.
Kwanza vizinga vingi, kama siku niko free kila mda wanakuja ghetto some time unatoka kwene harakati unawakuta ghetto nje wanakusubir

Kibaya kabisa nataka huu mwaka niwe buzy na kujisomea vitabu na unajua watu wenye tabia ya kusoma vitabu wanavotafsiriwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom