Ushauri tafadhali

Mr possibility

Senior Member
Mar 19, 2020
175
134
Moja kwa moja kwenye mada
Wakuu mimi kwa sasa niko singular so huwa nawaza kutafuta mamiloo wa kunipa kampani ila naghairi kwa kuanza kuwaza kuwa "acha nitafute kwanza hela"

Mawazo hayo ni kwa kuhisi kuwa ikiwa sitakuwa na hela ya kutosha mahusiano yanaweza kuleta shida na vitu namna hiyo

Nb mimi sio domozege

Nawasilisha
 
ndio mkuu, kuna solution unayoweza kunipa!?.. kiuhalisia nazipenda ila sijui naanzia wapi kumuomba hata namba. yaan nkisalimia na story sizioni, nakua sina kingine cha kusema.
Mkuu yeyote akiwa na mimi kwenye misele akisema oya niitie pisi kali hawezi kukosa hata kama ni domozege.
Nahisi nina nyota ya ukuwadi aisee🤝🤝
 
Mkuu yeyote akiwa na mimi kwenye misele akisema oya niitie pisi kali hawezi kukosa hata kama ni domozege.
Nahisi nina nyota ya ukuwadi aisee
unamaanisha nije kupiga misele au una maana gani nyingine!?.. maana bado haujawa msaada katika kunisaidia kutatua tatizo langu
 
Moja kwa moja kwenye mada
Wakuu mimi kwa sasa niko singular so huwa nawaza kutafuta mamiloo wa kunipa kampani ila naghairi kwa kuanza kuwaza kuwa "acha nitafute kwanza hela"

Mawazo hayo ni kwa kuhisi kuwa ikiwa sitakuwa na hela ya kutosha mahusiano yanaweza kuleta shida na vitu namna hiyo

Nb mimi sio domozege

Nawasilisha
Hakuna cha ushauri hapa zaidi ya kukazia tu kua tafuta pesa, nasema ivi tafuta hela hayo mengine yatajipa tu yenyew.
 
Bora kuwa singular kuliko kuwa plural, unafanya vyema
 
Back
Top Bottom