Nataka kwenda Tunduma, je kampuni gani ina mabasi ya Scania? Ushauri tafadhali

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,766
Kwa kawaida ninavyoenda Moshi na Arusha huwa natumia mabasi ya Dar Express, kiukweli vile visu viko very comfortable.

Je, Dar - Mbeya - Tunduma kuna mabasi ya Scania? Haya ya Mchina mtu unafika ukiwa umechoka.

Bujibuji na Erythrocyte ushauri Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kule kusini mabasi yaliyotawala ni Golden-Deer za New-Force: Linaondoka Dar es Salaam saa kumi na mbili kamili.

Kama hutaki mwabie PolePole akupandishe Vieite za Chama Cha Mapinduzi, zile hazipigwi hata tochi na utafika haraka.
 
Kwa kawaida ninavyoenda Moshi na Arusha huwa natumia mabasi ya Dar Express, kiukweli vile visu viko very comfortable.

Je, Dar - Mbeya - Tunduma kuna mabasi ya Scania? Haya ya mchina mtu unafika ukiwa umechoka.

Bujibuji na Erythrocyte ushauri Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Ccm wanalo scania lao lile la tot
 
Mkuu Mbeya kuna gari nzuri sana SCANIA GEMILANG za kampuni ya SAULI pia kuna BENZ za kampuni hiyo.

Zipo kila siku kazi kwako mkuu

Kwenye ligi nadhani ndo zinaongoza kufika Mbeya na Dar, Kwa ninavyosikia hao wachina njia hiyo wamesalimu amri sababu hizo Scania F360 huwa zinapanda kitonga kama zinashuka vile na kuna ule mluzi au whisle wa Scania unasikia na mafua yake kabisa.
 
Scania siyo mchezo bwashee!
 
Back
Top Bottom