Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

FWBTZ

Member
Sep 20, 2018
90
88
Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January.

Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads haswa kupitia Google Adsense.

Katika jitihada za kujiongezea kipato mwaka huu nina mpango wa kumiliki website itakayojikita katika fani niliyobobea. Nipo kwenye maongezi ya awali na designer wa website pamoja na makubaliano ya gharama za utengenezaji pamoja na hosting hadi itakapo kuwa hewani.

Sasa basi dhumuni la andiko langu ni kutaka kupata shuhuda na ushauri kutoka kwa blogers ambao tayari wapo kwenye tasnia hii. Je ni kweli inalipa kiasi hicho kama watu wasemavyo? Je ni vitu gani vya kuzingatia unapoweka Ads za Adsense kwenye site yako? Kuna Ads Network nyingi jee ni lazima kutumia Ads Network moja kwa website moja au unaweza zaidi ya moja? Kama kutakuwa na ushauri mwingine wa ziada mbali na hayo maswali basi itakuwa msaada kwangu na kwa wengine ambao pia wana nia kama yangu.

Karibuni kwa michango.

images
 
Mkuu karibu kwenye fani lenye watu wenye roho mbaya, wanafiki na wabinafsi waliopindukia.

Huku watu hawashei trick wala nini. Utaambulia kuoneshwa Dollars kwenye dashboard.

Blogger wenye roho nzuri Tanzania ni 1/20,000

Tena kuna blogger wakijua hata blog yako wanakufanyia figifu ufungiwe matangazo.

Baada ya kusema hayo, nikwambie tu usitegemee makubwa kutoka kwa bloggers wa kibongo. Anza mwenyewe huku ukijifunza along the process taratibu na kukaza kigumu. It takes time
 
Tena kuna blogger wakinua hata blog yako wanakufanyia digifu ufungiwe matangazo.

Baada ya kusema hayo, nikwambie tu usitegemee makubwa kutoka kwa bloggers wa kibongo. Anza mwenyewe huku ukijifunza alobg the process na kukaza kigumu.

Mkuu karibu kwenye fani lenye watu wenye roho mbaya, wanafiki na wabinafsi waliopindukia.

Huku watu hawashei trick wala nini. Utaambulia kuoneshwa Dollars kwenye dashboard.

Blogger wenye roho nzuri Tanzania ni 1/20,000

Tena kuna blogger wakijua hata blog yako wanakufanyia figifu ufungiwe matangazo.

Baada ya kusema hayo, nikwambie tu usitegemee makubwa kutoka kwa bloggers wa kibongo. Anza mwenyewe huku ukijifunza along the process taratibu na kukaza kigumu. It takes time
Asante kwa ushauri mkuu,

Kwa nini unasema fani lenye watu wenye roho mbaya?

Nadhani hiyo ipo naturally kwa asilimia kubwa ya watu wengi waliopata bahati ya kufanikiwa kwenye jambo fulani.

Nje ya mada kidogo, so mkuu na wewe ni Blogger?
 
Ni kweli wabongo naturally ni wabinafsi sana hasa kwenye suala lenye manufaa.

Yes, nina mwaka wa pili huu nafanya ingawa hali siyo mteremko.
 
Ni kweli mkuu. Hongera kwa ulipofikia, ngoja na mimi nipambane nianze maana nina muda mrefu na hili wazo ila utekelezaji ndio umekua mgumu kidogo kulingana na ratiba ila this time ngoja nijibane hadi kieleweke.
 
Ni kweli mkuu.
Hongera kwa ulipofikia, ngoja na mimi nipambane nianze maana nina muda mrefu na hili wazo ila utekelezaji ndio umekua mgumu kidogo kulingana na ratiba ila this time ngoja nijibane hadi kieleweke.
Mimi nilipata wazo tangu 2013 nikawa najifunza na kusoma blogs za wenzangu. Nimekuja kuanza blog yangu ya kwanza rasmi 2019.

Ni vizuri ukauliza pia vitu muhimu, maana huku kuna matapeli unaweza kuishia kupata stress.
 
Kabla haujawaza kuhusu adsense na kipato kwanza waza kuhusu content na value wanayopata wasomaji (hayo ya kipato ni extra na baadae) content is everything watu hawaji kwenye site yako ili wakutajirishe wanakuja kufuata kitu (content) ambayo indirectly wewe unaweza kupata kipato adsense ikiwa moja tu ya njia...
 
Mkuu nakushauri nenda jiunge Quora.Lile jukwaa lina watu halisi wanaotoa ushauri wa kitaaluma na wengi ni Magwiji ktk hayo mambo nilisoma sana ushauri kule nilichagua njia ngumu ambayo napambana nayo.Mfano nilikuwa nastrago Ku master basics za java katika Class,object,method na construor.

How to call method nk. Kule nilipata ushauri wa kitabu mahususi for beginners na sasa na hio kitu nimeanza pata mwanga.Hivyo tutumie sight za hapa home na kimataifa pia.Tusiwe local sana.

Nakwambia hakuna jukwaa nalolipenda kama Quora, LinkedIn niliitumia kidogo nikiwa chuoni nayo pia kuna wataalamu wanaweza kukushauri nini, volevile zingatia ushauri wa humu nao si haba.
 
Mimi nilipata wazo tangu 2013 nikawa najifunza na kusoma blogs za wenzangu. Nimekuja kuanza blog yangu ya kwanza rasmi 2019.

Ni vizuri ukauliza pia vitu muhimu, maana huku kuna matapeli unaweza kuishia kupata stress.
Oooh sawa sawa mkuu. Hongera kwa kufanyia kazi wazo lako.
Nikipata kikwazo chochote kadri siku zinavoenda nitauliuza na nipo makini pia dhidi ya hao matapeli.
 
Kabla haujawaza kuhusu adsense na kipato kwanza waza kuhusu content na value wanayopata wasomaji (hayo ya kipato ni extra na baadae) content is everything watu hawaji kwenye site yako ili wakutajirishe wanakuja kufuata kitu (content) ambayo indirectly wewe unaweza kupata kipato adsense ikiwa moja tu ya njia...
Upo sawa kabisa mkuu, kuhusu swala la content sio shida zipo za kutosha kabisa na sio zile za copy and paste kutoka site/blog nyingine.
 
Una viewers / traffic ya kutosha ? kama hapana kwanza angaika kupata viewers / traffic..., na sio zile za kununua kama uwezo unao wa unachokiandika / mpa mlaji basi you are on the right track..., unless otherwise its an uphill battle..., Kama nilivyosema hizi adsense ni ziada kama unapenda / unajua unachofanya mwisho wa siku pesa itakufuata tu..., na sio adsense tu hata affiliate products sababu readers wako wakikuamini ni rahisi kuwauzia / upsell different products..., kuwaza mapato kabla ya kuwapa wateja content ni sawa na kuvaa soksi juu ya viatu
 
Mkuu nakushauri nenda jiunge Quora.Lile jukwaa lina watu halisi wanaotoa ushauri wa kitaaluma na wengi ni Magwiji ktk hayo mambo nilisoma sana ushauri kule nilichagua njia ngumu ambayo napambana nayo.Mfano nilikuwa nastrago Ku master basics za java katika Class,object,method na construor.
How to call method nk. Kule nilipata ushauri wa kitabu mahususi for beginners na sasa na hio kitu nimeanza pata mwanga.Hivyo tutumie sight za hapa home na kimataifa pia.Tusiwe local sana.Nakwambia hakuna jukwaa nalolipenda kama Quora, LinkedIn niliitumia kidogo nikiwa chuoni nayo pia kuna wataalamu wanaweza kukushauri nini, volevile zingatia ushauri wa humu nao si haba.
Asante kwa ushauri mkuu, kule nipo pia na ni kweli kama usemavyo kule pia kuna madini ya kutosha sana. Ila lengo kuu la kuanzisha uzi humu ni kutaka kupata madini ya watu wa nyumbani nao nisikie wanasemaje si unajua maisha ya mbele tofauti na kwetu africa.
 
Una viewers / traffic ya kutosha ? kama hapana kwanza angaika kupata viewers / traffic..., na sio zile za kununua kama uwezo unao wa unachokiandika / mpa mlaji basi you are on the right track..., unless otherwise its an uphill battle..., Kama nilivyosema hizi adsense ni ziada kama unapenda / unajua unachofanya mwisho wa siku pesa itakufuata tu..., na sio adsense tu hata affiliate products sababu readers wako wakikuamini ni rahisi kuwauzia / upsell different products..., kuwaza mapato kabla ya kuwapa wateja content ni sawa na kuvaa soksi juu ya viatu
Asante sana kwa ushauri mkuu. Traffic/Views sina ndio changamoto yangu ya kwanza sababu ndio naanza. Nataka nimalizane na developer wa site halafu iwe hosted nianze kuhangaika na traffic halafu baadae ndio nifanye application ya Adsense.
 
Mimi nilipata wazo tangu 2013 nikawa najifunza na kusoma blogs za wenzangu. Nimekuja kuanza blog yangu ya kwanza rasmi 2019.

Ni vizuri ukauliza pia vitu muhimu, maana huku kuna matapeli unaweza kuishia kupata stress.
Mkuu we unatumia kampuni gani kufanya hosting?
 
Back
Top Bottom