Vyama vya upinzani chondechonde msije mkakubali kuingia kwenye uchaguzi 2020 bila tume huru.
Hulka na tabia ya jiwe na serikali yake mmeshaiona hawana aibu heshima staha Wala huruma kwenu Wala hawaifwati katiba.
Kama jiwe ameweza kuchezea uchaguzi wa serikali za mitaa bila kufanywa lolote Wala...
Mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hii, Rais Magufuli alivipiga marufuku vyama vya upinzani nchini kutofanya mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020, kwa madai kuwa uchaguzi umekwisha, kwa hiyo huo ni wakati wa kufanya kazi na siyo wakati wa kampeni.
Wakati akitangaza hivyo Rais Magufuli...
UCHAGUZI WA MWAKA 2020: Chama cha Wananchi CUF chataka mazingira mazuri
Chama cha wananchi CUF kimetoa wito kwa Rais John Magufuli kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa ili kuweka mazingira mazuri ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha...
Happy new year 2020 to y'all members of JF
Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati
Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa...
Hawa vijana wengi wao ni mbumbumbu kabisa hawajui kusoma alama za nyakati hawataki kuamini kwamba siasa za kiuanaharakati zimepitwa na wakati, hawataki kuamini kwamba uongo mmoja wao unasababisha vyama vyao vichukiwe
Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasomeka hivi " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Katika mazingira hayo vyama vya upinzani vinapaswa kutoa "constructive criticism" ambavyo...
Nichukuwe nafasi hii kuipongeza Chadema kwa mambo kadhaa .
Kwanza kwa kujuwa nafasi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani na kuwa chama kiongozi miongoni mwa vyama vya upinzani Tanzania. Nawapongeza kwa kuonesha siasa mbadala.
Nawapongeza kwa kuanza kukomaa na kutoendeshwa kwa matakwa ya...
Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari...
Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.
Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule...
Baada ya chairman Mbowe kumtaka mh rais kufanya mchakato wa maridhiano, upinzani ghafla umegawanyika zaidi. Wako wana chadema wanaokubalina, na wako wasiokubaliana na hatua ya mwenyekiti wao kuomba maridhiano ya kitaifa.
Kuna wanachadema ambao wamechukizwa, na wengine wakiungana na Zitto kwenye...
Licha ya sababu mbalimbali za kiuchumi na kisiasa zilizofanya nchi yetu kuanzisha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza kufanyika 1995 lakini bado CCM ni tumaini pekee la watanzania. Kuanzia uchaguzi wa 1995 mpaka wa mwaka 2015, CCM imekuwa ikishinda na ushindi wa kishindo...
Kiongozi wa Upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire amezuiwa kutoka nchini Rwanda kupokea tuzo ya haki za binadamu.
Bi Victoire Ingabire kiongozi wa upinzani nchini Rwanda alitunukiwa tuzo ya mtetezi wa haki za binadamu iliyotolewa na Shirika la haki za binadamu la Uhispania, lakini hakupewa...
Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019.
Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani.
Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76.
Kulingana na taratibu za chama hicho...
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze hapa nchini,tumekuwa na vyama kadhaa ambavyo kwa nyakati tofauti vilikuwa ni vyama vikuu vya upinzani(vyama vyenye nguvu) kama vile NCCR-MAGEUZI chini ya Lyatonga Mrema na baadae CUF chini ya Prof.Lipumba.
Historia inaonyesha kuporomoka kwa vyama hivi, ni...
Kuna wanaofikiria vyama vya upinzani na fikra za upinzani ni kitu kimoja. Tanzania watu wana utamaduni na fikra za kupingana na ubishi hii hakuna mtu ataweza kuiondoa.
Ilikuwepo kabla ya uhuru mpaka sasa.
Vyama vitakufa kwasababu ni taasisi zinazoweza kubanwa lakini fikra ya upinzani ni kama...
Nimefuatilia mijadala mingi na kugundua kuwa kuna Watanzania wengi sana hasa kwenye mitandao wameweka mbele kulalamikia upinzani tu bila kuzingatia hali halisi ya siasa na mazingira ya nchi yetu.
Rushwa za kisiasa zipo mpaka kwenye video, mikutano hairuhusiwi, viongozi wa vyama vya upinzani...
Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015.
Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais...
Wananchi wanapenda mabadiliko sana ila vyama vinavyojiita vya upinzani Nchini hususani Chadema kimekuwa kikizorotesha sana uhai upinzani.
Ushahidi wa haya unayoyasema upo wazi kabisa:-
1. CHADEMA ndiyo waliomkera Dr Wilbroad Slaa kiongozi ambaye alipaswa kuzalisha vijana wengi kwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.