Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya...
Najiuliza sana wala sipati jibu, kuna nini kimewasibu wa Chadema? Chama chenu kinaonekana kukubali kushindwa kabla hata refa hajapuliza kipyenga.
Wabunge pamoja na wanachama wanawakimbia. Jana lile nyomi kule Tarime ni aibu kwa chama chenu.
Mmekuwa kama mmepigwa shoti ya umeme na kuduwaa...
Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani.
Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa...
Spika Ndugai amesema...
Hotuba hii ya Kambi Rasmi ya Upinzani imejaa makosa karibia kila ukurasa, ina matumizi mabaya sana ya jina la Mhe. Rais na kulituhumu Bunge la 11. Nadhani wangeshirikiana kuiandika pamoja isingefika hapa, mimi siko hapa kutetea chochote.
Kulifanya Bunge kuwa mahala pa...
Nasema kweli hata kama watu wachukie na wanune. Kile kilikuwa ni chama kilichojua kila mikakati ya kisiasa. Iwe ni propaganda au ishu ya ukweli.
Chama kile hakikuwa na ukabila wala ukanda, kilijaa kila kabila na wasomi kedekede.Alikuwemo Mabere Marando, Marehemu Dk Sengondo...
Bila Shaka mtakuwa mmejifunza kutokana na makosa. Mwaka 2015 mliwapokea wanaccm wengi waliokatwa kwenye kinyanganyiro Cha Urais, ubunge na udiwani na wengi wao walifanikiwa kushinda kwenye uchaguzi. Cha kushangaza karibia wote Hawa wamerudi Chama cha Mapinduzi.
Napenda kuvishauri vyama vya...
Baada ya Makonda kutangaza mtoto wa Mbowe kuwa ameugua korona,jambo ambalo lina muelekeo wa kisiasa,naanza kujiuliza kama bado ni sahihi(salama) kwa wapinzani kupima ugonjwa huu humu ndani ya nchi na hasa wabunge wa upinzani ambao watapaswa kupimwa sambamba na wenzao wa CCM kabla ya kushiriki...
Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina mikakati imara kila linapotokea swala au janga la kitaifa.
Waziri wa afya mh Hamad Rashid ni mpinzani kutoka chama cha ADC lakini ndiye aliyepewa majukumu muhimu katika vita hii.
Nadhani Tanzania bara tuna jambo la kujifunza kutoka Zanzibar na ni jambo jema...
Kila jambo unalolifanya huwa na faida na hasara zake.
Kwa msingi huo huo,hata katika kudhibiti wanasiasa kwa kuwafunga jela au kuwaweka mahabusu mara kwa mara,moja ya athari yake ni kuwafanya wanasiasa hao kuzoea kukaa jela au mahabusu na hata kuwafanya kuwa sugu na matokeo ya hali hii ni...
Kuna watu bila kujali itikadi yao ya kisiasa ambao kazi yao ni siasa. Watu wa aina hii lazima wafanye siasa maana maisha yao yote yanategemea siasa.
Kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa na mwanasiasa. Mwanasiasa anaweza kufukuzwa na wenzake kutoka ndani ya chama au anaweza kukihama chama...
Nimeona tafsiri potofu/uelewa finyu kuhusu Kauli hiyo ya BASHIRU, Msingi wa kauli hiyo ni dhana ya kitaaluma ya INCUMBENCY ADVANTAGES inayotumika katika Political Science.
Chanzo cha tafsiri hio POTOFU inaweza kuwa uelewa hafifu wa dhana ya INCUMBENT ADVATANGE au inafanyika maksudi ili kupata...
Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM.
Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi.
Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la...
Mada inahusika.
Katika kipindi hiki kwenu kilichojaa fitina na majungu na nia ya dhati ya kutaka kusambaratishwa na watawala, umakini unahitajika sana.
Kwanza ukomavu wenu ni muhimu na mapitio yenu yawaunganishe kama kundi moja lenye common intrest
Tumieni uzoefu mlioupata kwenye UKAWA 2015...
Mwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.
Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi.
Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
My take,hizi ndo siasa safi.
=====
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani sijawahi kumshuhudia KUB Mbowe akitimba Ikulu iwe kwa niaba yake au ya chama chake.
Leo maalimu Seif ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo Prof Lipumba ametimba Ikulu na hii ni mara ya pili.
Leo mh Mbatia katimba Ikulu.
Mzee Lowassa akiwa...
Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani.
Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF.
Tangu Chadema wawe chama kikuu...
Nianze kwa kuomba samahani kwa niliowakwaza kwa heading hapo juu!
I am a realist and I wish to remain so!
Upinzani haujafa kama JPM alivyotamaani ila umeumia!
Our house isn't in orderWe can't realistically mount a challenge against Membe come 2020!
I want to forget about JPM because he is...
Wanabodi Salaam.
Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015.
Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho
Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.