upinzani

  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani msipoteze muda kuweka wagombea Urais

    Natoa ushauri tu kwa vyama vya Upinzani kujitafakari na kutopoteza muda na pesa kuweka mgombea urais. Hii ni kwa sababu utendaji kazi wa rais JPM tayari umeshampa ushindi mkubwa. Kudhibiti mianya ya rushwa kwenye halmashauri, ujenzi wa miundo mbinu kama daraja la busisi (umeashaanza) kurudisha...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka CCM. Mrema, Sumaye na Lowassa wameshindwa. Je, kuna mwingine?

    Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Upinzani wa kweli na mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM na kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba. Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji. Hivi hii...
  3. J

    JamiiForums Tanzania 80% ya Watanzania waliokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa sahihi, kizazi cha Upinzani wa kweli bado hakijazaliwa

    Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli". Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanaorejea ndani ya CCM kutoka Upinzani watakiwa kutoleta makundi ndani ya Chama hicho

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amewataka wanachama ambao walikihama chama hicho na hivi sasa wameamua kurejea wasiwe chanzo cha kuanzisha makundi ndani ya chama. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, picha mtandao Amewataka wanachama wa CCM...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waliohamia CCM kutoka upinzani watazeeka kwa aibu sana muongo ujao

    Ni jambo la kusikitika sana, ukitafakari siasa za Tanzania. Kitendo cha wanasiasa walioaminika na wananchi kwa kupigiwa kura kuhamia CCM kwasababu za kipumbavu kama wanazotoa ni jambo litakalohojiwa sana na vizazi vijavyo. Nadiriki kusema miaka kumi ijayo hawa WALIOHAMIA CCM watakuwa wazee ila...
  6. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Upinzani Bandia na Wapinzani bandia

    Linapokuja suala la siasa za upinzani hapa Afrika huwa niña kigugumuzi kwakweli.Hii inanirudisha mwaka 1992 wakati wa ile tume ya maoni ya wangapi wanataka vyama vingi na wangapi wanataka kuendelea na mfumo wa chama kimoja ambapo kwa mara ya kwanza Tanzania tulianza kuutumia mwaka 1965 baada...
  7. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

    Mbunge wa Tandahimba (CUF), Katani Katani amejiuzulu Ubunge wake na kujiunga CCM ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally aliyepo ziarani Mkoani Mtwara Bashiru amewasili Mtwara leo kwa ziara ya siku 3 huku akitarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ya Wilaya za Mtwara Vijijini...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli CCM inaiba kura au ni visingizio vya upinzani?

    Kwanza kabisa binafsi Sina mapenzi na chama chochote cha siasa Tanzania ila ni mpenzi wa siasa Safi.Tuje kwa hoja niliyouliza hapo juu Kama nikwel wapinzani wanaibiwa kura au Tume ya uchaguzi haitendi haki haya maswali nimejiuliza Mbowe ameshindaje ubunge wa hai na pia chadema kachukua kata...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Inachofanya CCM ni kukomboa Majimbo yake yaliyokwenda Upinzani 2015 lakini Wapinzani bado wanamiliki majimbo yao kasoro lile la Ukerewe

    Habari njema kwa upinzani ni kwamba Majimbo yote yaliyorudi CCM kupitia chaguzi ndogo awali yalikuwa chini ya CCM kabla hayajazolewa na mafuriko ya Laigwanan Edward Lowassa. Kilichofanyika hadi sasa ni CCM kuyakomboa majimbo yake na kujipatia nyongeza ya jimbo la Ukerewe. Kule Singida...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msifadhaike kabisa kipyenga kikilia tu wengi watakuja upinzani tila lila

    Mimi ni wa Kijijini na ninatolea mfano kwa mazingira ya huku kwetu Idukilo-Kishapu-Shinyanga. Watu wanafadhaiiiiikaaa eti sijui nani karudi au kaenda kwenye LiChama Tawala na upinzani unazidi kuchoka ! Walaaaaa! Sio hivyo kabisa! Upinzani utakuwa kwa asilimia kubwa sana Mwaka huu - subiri...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Zanzibar haipati wahamiaji kutoka upinzani? Je, haipendwi au wanasiasa wa visiwani wamekomaa kuliko wa bara?

    Naomba anayejua sababu ya kutowasikia wanasiasa wa upinzani kule Zanzibar wakihamia chama tawala anijuze tafadhali. Au sisi Watanganyika tunajua kucheza na kete za kisiasa kuliko Wazanzibari? Majibu tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wanaohamia CCM kutoka upinzani wanafanya hivyo kutafuta vyeo na masilahi mengine, wakiyakosa wataendelea kubaki?

    Nipe historia ya KANU, UNIP ya Kaunda etc! Historia ni mwalimu mzuri. CCM imesismama (kama kweli imesimama) kwa vile inapendwa na wanaohamia au ni kwa vile kuna "marupurupu" yanafuatwa? Kwangu mimi CHADEMA imesismama pamoja na kutokuwa na nguvu ya dola kwa vile walioko wana nia ya dhati na...
  13. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Upinzani historia inawahukumu

    Leo asubuhi nilipoamka nilikutana na Tweet moja ya Mh. Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania. Twitter iliandikwa hivi, ‘’ What a wonderful bird's eye view of our beautiful Mount Kilimanjaro, I was able to capture today February 12th, 2020. I was on a TGFA flight from Nairobi to Dar es Salaam...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Tupo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa Urais lakini si yule wa CHADEMA atakayetokea CCM

    Mwenyekiti wa CUF Habari Prof Lipumba amesema wao wako tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa urais. Lipumba amesisitiza kuwa pamoja na yote hawatakuwa tayari kushirikiana na Chadema kama wanangojea makapi ya CCM waweze kupata mgombea. Prof Lipumba...
  15. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Hivi Marekani akiiwekea vikwazo Tanzania ndio upinzani unaingia Ikulu? Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini chama ni kile kile ZANU PF

    Ukimwangalia ZITO tabia ya usaliti alianza nayo toka zamani tangu enzi akiwa CHADEMA mabeberu wake walikuwa ni Serikali ya Kikwete iliyokuwa inamtumia kula hela zaidi Alipoingia Magufuli alijua kuwa utaratibu ule wa awali utaendelea kwamba Magufuli ataendelea kumtumia Zito kudhoofisha Upinzani...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha upinzani Tanzania chenye uwezo wa kusimamisha mgombea kila Jimbo, Kata, Kijiji, Mtaa

    Ndugu zangu, Namba hazidanganyi. Si CHADEMA, ACT, CUF wala chama chochote hapa Tanzania kinachoweza kusimamisha mgombea kila jimbo, kata, kijiji, mtaa. Vyama vyote hivyo vinafanya kazi mijini au kwenye sehemu ambayo viongozi wao wamezalizaliwa au dini ya viongozi wao. Mfano: Chadema ipo Hai...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Vyama 12 vya upinzani nchini Vyamkana Mbowe na Chadema, vyasema vitashiriki uchaguzi chini ya NEC kwani wana Imani nayo

    Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli. Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Benki ya Dunia umeonyesha upinzani sio idadi ya ubunge, ni fikra

    Kama kuna watu walikuwa wanafikiria kwamba kuwabana upinzani, wanahabari na watoa maoni kutafanya chochote kiweze kufanyika wafiliri tena. Dunia ya siku hizi tunategemeana sana kiasi kwamba mtu wa kawaida tu ana uwezo mkubwa sana kuleta na kuzuia mambo mengi kama hamjakubaliana pamoja kama nchi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuteuliwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa kambi rasmi Upinzani Bungeni, Bulaya aanza kumiminiwa pongezi za ndani na nje ya nchi

    Cheo cha Mnadhimu wa Kambi rasmi ya upinzani bungeni si cheo kidogo, hiki ni cheo kikubwa mno, mnadhimu ndio msimamizi wa haki zote za wabunge wa upinzani bungeni, ndio mdhibiti mkuu wa hujuma zote wanazotendewa wapinzani bungeni. Hiki si cheo kidogo kwa Mbunge Mwanamke kukipata, ni heshima...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa kweli tuliushuhudia kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 1995 baada ya hapo Wapinzani walichakachuliwa

    Kwa wale tulioshiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 tutakumbuka namna wagombea wa upinzani walivyokuwa makini na wasioyumba. Wagombea wale waliweza kujenga hoja bila matusi wala kejeli hali iliyopelekea hata mwalimu Nyerere kuwasupport katika baadhi ya majimbo likiwemo la Iringa mjini ambapo Dr...
Back
Top Bottom