Ili mbegu iote sharti ioze kwanza na kuharibika ili uhai uchipuke upya,ni jambo la ajabu sana hili kutafakari kwa kina.
Kwa wakulima hawawezi kustaajabu sana kwa sababu ya uzoefu wa jambo hilo ila kuna haja ya kujifikirisha zaidi juu ya mchakato unaofanyika.
Ukihusisha kuoza kwa mbegu na kuota...
Gen Paul Kagame alipotwaa madaraka alicheza kulinyoosha Bunge halafu akavimaliza vyama vya upinzani,watu wa chama chake RPF wakabaki wanamshangilia na kuona wamebaki wao tu kama chama tawala!
Baada ya kuona sasa bunge ni dhaifu, mahakama ni yake na vyama vya upinzani vimebaki majina tu na...
Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa...
Vyama vya upinzani hasa vile saba mlivyojitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mlichokifanya iwe funzo kwenu next time msirudie tena kwa sababu mmewanyima wananchi wenyu fursa ya kuchagua na kuchaguliwa.
Tatizo lenu mnapenda kufanya mambo kisiasa, basi kwa...
Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
Kuna suala ukiliangalia kichwa kichwa unaishia kuchanganyikiwa,
Nauliza je mfano pale CHADEMA kuna mtu anaitwa Mbowe!
Siyo rahisi kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti najiuliza
1. Je, Chadema hawana mtu wa kuvaa viatu vyake?
2. Kafanya kazi kubwa sana kiasi kwamba ni fadhila kwa kazi alofanya?
3...
Upinzani pamoja na figisu zote wanazofanyiwa unatakiwa kubadilika na kubadili mitazamo na aina ya siasa wanazozifanya kutoka kwenye siasa za kiharakati kua siasa za ukombozi zenye hoja mubadala kwa mustakabali wa nchi na zifike kwa wananchi.
Kuendelea kung'ang'ania kudai vitu ambavyo pengine...
Wanabodi za asubuhi!naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kwa wale makomredi wa chama tawala naombeni ufafanuzi wenu kuhusu lengo la kuua upinzani nchini linaisaidiaje CCM kama chama tawala? Upinzani si ndio kioo? kama kwa miaka mingi upinzani umekuja na ajenda nyingi za wananchi ambazo serekali...
Salam wakuu,
Naomba niseme CCM, CHADEMA, na ACT mnalipa wafanyakazi hewa kwenye vitengo vyenu vya ubunifu wa mikakati ya ushindi, propaganda, fitina, figisu figisu na uenezi.
Mnatabirika mno, yaani kama kuna madudu au propaganda au bao la mkono linajulikana hata na mtoto mdogo.
KUNDI LA...
Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu.
Karibu!
Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka.
Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
Taarifa zinasema kuwa watendaji wa kata kote nchini wameendelea kupokea maagizo toka juu, kwamba wasipokea barua za kujitoa wapinzani wote kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Huo ni mwendelezo wa hujuma kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November mwaka huu. Wapinzani wapata...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa mara kwa mara nafasi ya upinzani kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu inapotea kutokana na kiongozi wa kambi hiyo kuwa mtoro.
Spika ametoa kauli hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu maarufu kama maswali...
Kama nakosea Mungu anisamehe. Nachoamini huyu Mkapa ndio alimpora Maalim Seif urais wa Zanzibar.
Pili huyu ndio mwasisi wa ubavu ubavu na ubabe inakuwaje leo katoka madarakani na anaonekana kachoka ndio anatubu.
Kwanini asiwambie aliowaweka madarakani watende haki? Kwanini alazimishe...
Siku chache baada ya Rais wa Bolivia, Evo Morales kujiuzulu naibu Spika wa Bunge la Seneti la nchi hiyo, Jeanine Anez amejitangaza kuwa kaimu Rais katika kikao cha Bunge ambacho kilikuwa na idadi ndogo ya wabunge.
Wabunge wa Bolivia walikuwa wameitwa kupitisha uamuzi wa Morales kujiuzulu na...
Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani.
Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko.
Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi...
Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
Baada ya CCM na Serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka Serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kama Wapinzani sio wasaliti wa watanzania mtayazingatia haya.
Kazi kubwa ya kiongozi yeyeto yule ni kuhakikisha taasisi au watu anaowaongoza wanafikia malengo waliyojiwekea kwa asilimia zote. Kiaongozi asiye na uwezo wa kuweka malengo mahususi (specific objectives) na njia za kuyafikia (strategic plan) hana sifa za kuwa kiongozi bora.
Kiongozi bora pia ni...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
ccm
chadema
haki
jafo
katiba
katiba ya tanzania
matokeo
mawazo
miti
nyumba
serikali
serikali za mitaa
sheria
tamisemi
tanzania
uchaguzi
upinzani
vyama
wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.