upinzani

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  2. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vitakavyoshiriki huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Chama chochote cha upinzani kitakachoshiriki huu uhuni unaoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania. Kwanini nasema hivyo, matukio yote yaliyoripotiwa nchi nzima yameonyesha ukiukaji mkubwa wa sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za uchaguzi ambazo hazijawahi tokea toka...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  4. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Mambo 20 yanayouponza upinzani Tanzania

    yafuatayo ni mambo 20 yanayouponza upinzani Tanzania: 1. Mitandaoni haswa Twitter Instagram na Jamii forum. Utadhani wapiga kura woote wanasoma Twitter! Utadhani tabu zao zitapatiwa ufumbuzi Twitter! Lakini kwa wenzao CCM wanawatumia mitandao hii kwa akaunti zao kama MTAGA kuelezea zaidi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  6. alliJAY4_four

    JamiiForums Tanzania Tujadili hili……. Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa?

    Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa? Hawakuwa na maarifa/uelewa wa kujaza fomu? Wengi wao wamerudisha form zikiwa kilema (baadhi ya vitu muhimu havikujazwa wala kuambatishwa) Viongozi wao wa juu walikua wame-base sana kwenye mitandao ya kijamii na sio kuwaeleimisha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njama zilizopangwa na upinzani kuichafua Serikali

    Wapinzani wa nchii hii walipofikia sio sehemu nzuri maana wanataka kuipeleka nchi kwenye machafuko kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Kama ulikuwa haufahamu ngoja nikufaamishe mipango na mikakati yao;- 1. Walianza kulalamika kuwa wasimamizi wa uchaguzi wanawahujumu ilihali wao hawakwenda...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho: Tunapoelekea vyama vya upinzani huenda vikajeruhi, kuharibu mali na hata kusababisha mauaji ili kuhalalisha ''malalamiko'' yao

    Ndugu zangu, Kumekuwa na juhudi kubwa kwa vyama vya upinzani kupitia mitandao ya kijamii kupotosha yanayoendelea kuanzia kipindi cha uandikishaji, uteuzi wagombea na hatimaye uchukuaji na urejeshaji wa fomu. Kipindi cha kujiandikisha walikuja na kampeni susia susia huku wakitoa picha za...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ruangwa, Lindi: Wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa

    Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola
  10. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  11. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Kuhusu fikra ya kuua upinzani, “The Law of Polarity”

    Kumekuwa na mijadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuua au kutoua, kufa au kutokufa kwa upinzani Tanzania. Ukiangalia kwa ukaribu jambo hili; kuna watu wanafikiri upinzani ukifa litakuwa jambo la faida kwa taifa, ila kiuhalisia litakuwa ni jambo la hasara kwa watu wote na pengine la hatari...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Nimepokea malalamiko kutoka Kata 72 katika uchukuaji na urejeshwaji fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amesema amepokea malalamiko kutoka kata 72 kuhusu dosari mbalimbali katika uchukuaji na urejeshaji fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Uchukuaji na...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali hii inawafanyia hila mbalimbali wagombea wa upinzani kwenye chaguzi zinazoendelea nchini?

    Tumesikia vituko na hila mbalimbali wanazofanyiwa wagombea wa upinzani, hususani wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa, unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24 mwezi Novemba, mwaka huu Vituko kama vile wasimamizi wa uchaguzi "kuzikimbia" ofisi...
  14. Chikwangara

    JamiiForums Tanzania Mh. Zitto na viongozi wengine wa upinzani

    Kwa kuwa nyinyi ndio viongozi ambao mmebaki angalau mkisema mnasikika, basi tunaomba muongelee suala la mikopo ya elimu ya juu. Mpaka sasa haijulikani hatima ya wanafunzi wanaotakiwa kupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB). Tafadhali, saidieni kuwasemea watoto wa kitanzania ambao wamekosa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Juhudi za kuua upinzani nchini kwenye uchaguzi ujao ni kwa maslahi ya nani?

    Wanabodi, Kutokana na vitendo vinavyofanywa na viongozi wa serikali na vyombo vya dola kuna kila dalili kuwa upinzani hauhitajiki tena nchini na kwamba mfumo wa chama kimoja ndio unaohitajika kwa sasa. Mfano mzuri ni huu wa kuzuia wabunge wa upinzani kufanya mikutano kwa Uhuru na wapiga kura...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha wapinzani kinakwisha kwa kasi, kimebaki kizazi cha wapingaji. Case study: Upinzani wa Awamu ya Tano

    Haya yanayayofanywa na upinzani katika awamu hii ya Dkt. Magufuli ni dhahiri kuwa Tanzania kadiri muda unavyokwenda tunapoteza kizazi cha wapinzani wenye sifa ya upinzani na matokeo yake wapinzani wenye sifa ya upingaji ndio wanaibuka. Tunashuhudia kuzaliwa kwa upinzani shibe tuliza njaa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mbona Edward Lowasa Arudi CCM?

    Wacha niwe mchambuzi ma maswala ya Kisiasa Kwa Dakika Moja Hakuna Shaka yoyote kwamba kuondoka kwa Mzee Edward Lowasa Kule Upinzani(chadema) na kuelekea Kule CCM kumeitingisha Chadema na kuiacha Mahututi, hata hivyo Ikumbukwe kwamba Mh. Lowasa Kule upinzani alifuata Uraisi,na kwa mtu yeyote...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni kilio kwa Upinzani nchini

    UTEKELEZAJI wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mpinduzi (CCM) unaofanywa na Rais John Pombe Magufuli umekuwa kilio kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema na CUF. Kubwaga manyanga kwa wabunge na madiwani wa vyama hivyo wakiunga mkono jitihada za Rais Magufuli ni ishara tosha kwamba, Serikali ya...
Back
Top Bottom