Walalamishi wengi wa upinzani ni wanafiki

Walalamishi wengi wa upinzani ni wanafiki

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,663
Reaction score
15,224
Nimefuatilia mijadala mingi na kugundua kuwa kuna Watanzania wengi sana hasa kwenye mitandao wameweka mbele kulalamikia upinzani tu bila kuzingatia hali halisi ya siasa na mazingira ya nchi yetu.

Rushwa za kisiasa zipo mpaka kwenye video, mikutano hairuhusiwi, viongozi wa vyama vya upinzani pekee ndiyo wanashinda mahakamani, wagombea wanaenguliwa kwa sababu tu ya upinzani.

Tunaona katibu ya chama tawala ndiyo mwenye ruksa na kufanya mikutano na kulindwa. Wapinzani wanapigwa risasi bila kesi. Katika mazingira haya kama mtu huru mwenye akili zako hiwezi kulalamikia upinzani tu kila siku bila kujali na kuzingatia mazingira yao. Wengi wanatafuta njia ya kupewa vyeo au biashara na serikali kibinafsi.

Lakini kibaya zaidi anayeumia ni Watanzania kwa ujumla maana hawa wapinzani ni rahisi kwao kuunga mkono kila kitu lakini ni hero miongoni mwetu. Tunaweka kushinda kupiga madongo hapa kila siku lakini kama hujaweka maisha yako hatarini kama hawa huwezi kujifanya mwelekezaji wao ni unafiki.

Nenda kapigane tuone mbinu zako badala ya kujifika kwenye maneno na madongo kila siku.
 
Wengi ni wanafki na wasaliti wa nchi

Nafurahi Magufuli anavyowapuuza
 
Wewe ni nani? Absolutely nothing

Keyboard warrior

Usitutishe, Tunampenda Rais wetu Mzalendo nyie vijakazi wa Mabeberu kwisha Habari yenu

Mimi ni mtu kama wewe! Mimi ni nothing na wewe ni nani?Nothing kama mimi! Huna jeuri ya kuweza kuniambia mimi ni nothing wakati na wewe ni nothing kama mimi! So shutup! Mawe is mawe!

Kua kiongozi by accident does not increase mawe’s IQ! Mawe’s IQ is Mawe’s IQ, haiongezeki kwa kupata kura! Nothing yall can do to help! Its genetics, no one has power on them!

Deal with it!

He’s on the bottom on the toilet,everybody is shitting on him!

Go, kill yourself!
 
"Nenda kapigane tuone mbinu zako badala ya kujifika kwenye maneno na madongo kila siku."

Yani huu ndio Ushauri unaowapa Wapinzani baada ya kuwananga !?。
 
Wengi ni wanafki na wasaliti wa nchi

Nafurahi Magufuli anavyowapuuza
What are doing for living? Maana kila nikiingia humu nakuta uko busy kujibu kila thread.

Wakati ni ukuta utakuja kujuta sana kupoteza muda wako mitandaoni kwa faida ya kundi la wachache, maana ni bora hata toilet paper ukiitupa itajisifu imeambulia kukuchamba, sasa dogo utafika muda unategemewa na huna mbele wala nyuma nyinyi ndio watu chanzo cha kuwepo watoto wa mitaani.

Ushauri wa bure tafuta kazi ya kufanya for your best future, Riziwani Kikwete hana muda kama huu wako tunakutana naye five star hotel kwenye buffet.

Usije kujuta baadaye ukasema ningejuwa, open ur eyes now.
 
Wewe ni nani? Absolutely nothing

Keyboard warrior

Usitutishe, Tunampenda Rais wetu Mzalendo nyie vijakazi wa Mabeberu kwisha Habari yenu
Kozi ya ras simba naona mambo syo mabaya

Ova
 
Matola,
Naona kapelekwa na kozi ya ngeli kabisa[emoji23]
Ila Buku7 naona ananitolea macho

Ova
 
Nenda kapigane tuone mbinu zako badala ya kujifika kwenye maneno na madongo kila siku.
Mkuu Kamundu, nimekusikia, naunga mkono hoja yako, na baadhi yetu mimi nikiwemo, mwaka 2020, tutajiunga na siasa na kuonyesha mbinu mbadala.
P
 
Mkuu Kamundu, nimekusikia, naunga mkono hoja yako, na baadhi yetu mimi nikiwemo, mwaka 2020, tutajiunga na siasa na kuonyesha mbinu mbadala.
P

amkeni amkeni amkeni.!

hatimaye Paskali kaamua kufanya uamuzi sahihi

''ukitaka cha uvungun sharti uiname'' alisikika MTU 1
 
Kama yeye tunavyompuuza.
Na sasa amepuuzwa na mzungu mkulima. Amemkosesha kwenda kufanya sherehe Terminal 3 kupokea mzigo wake toka Toronto!
Alikutwa msambaa mmoja akimsifia Stein "Osie uyu mzungu ni mbwanga kwei kwei!"
 
Back
Top Bottom